huyu mumeo ni jinga kabisa!
na ingekuwa kweli unapigwa angefanyaje!
vtu vingine si vya kujalibu bwana!
Naombeni jamani tusaidiane hili. Mume wangu alikuwa masomoni nje ya nchi kwa muda wa miaka miwili, amerudi hivi karibuni. Aliporudi kanunua line ya Airtel ambayo ndio ninayoifahamu. Mie sikujua kumbe mwenzangu kanunua line ya tigo, ambayo hakunambia. Sasa siku moja usiku nashangaa msg inaingia:-
YEYE: Darling mambo vipi? Naona tangu jamaa yako arudi umenitosa
MIE: Mbona mie sikufahamu?
YEYE: Hee! kumbe tuko wengi tunaoiba? Njoo basi tukutane hapa Rose garden
Na mengine meeengiiiii.
Mie nkaushtukia mchezo hapo, ila nkasema wacha nione hii movie mwisho wake utakuwaje. Tukapanga hadi kukutana, bahati nzuri sikuwa na papara. ALHADULILAH! mara nafika eneo la tukio ni yeye huyooo!
Nilighafilika kwa kweli, ingawa hisia zangu zishantuma kuwa kama sio yeye basi ameweka watu wanitrace. Hivi ingekukuta wewe mwana JF mwenzangu, ungeliamuaje hili?
hakuamini hata kidogo! Sasa inabidi na wewe ujifanye kama mnaachana hivi??

Tena hata mimi nimeisha muona kicheche.Yani kama me ndio mumeo nakumwaga mazima unaonekana ni kicheche.
Labda ukute mkataba wa kwanza umeshaisha,then that guy atakuwa na right kukutongoza tena otherwise mmh!
Msirukie lugha sio zenu.ALHADULILAH!