Mume wangu kanitukania Mama yangu, naombeni ushauri jamani

Nimeondoka nyumbani kwangu huu ni mwezi wa pili! Mume wangu kuna hela alinipa kama milioni 2, kwaajili ya kumuwekea. Mume wangu alikua ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi, sasa katika kampuni yao ni kama wanataka kuifunga hivyo mkataba ukiisha hakuna anayeongezewa mpya.

Mkataba wa mume wangu ulikua unaisha mwezi uliopita, tangu mwaka jana alijua kuwa ataachishwa kazi akawa anaweka hele zake kwenye akaunti yangu akihofia yeye kuzitumia

Lengo ilikua ni kazi ikiisha basi aanze biashara ikishasimama basi NSSF yake itakua imetoka anaongezea mtaji. Kuna Kaka nilikua naye kwenye mahusiano kabal ya mume wangu, tuliachana akaoa sasa tuliehndelea bdao kuwasiliana na mara nyingi alikua ananiambia kuhusu mambo yake ya ndoa na changamoto anazopitia.

Yeye ana kakampuni kakukopesha, nilipomuambia kuhusu hela ya mume wangu aliniambia kama vipi nimpe aizungushie ili kunilipa riba. Kwakua ni mtu nilikua namuamini na najua ana hela nilikubali, nikampa ile milioni mbili. Shida ikaja kwenye kunilipa, akawa ananisumbua ananiambia biashara zake haijaenda vizuri na mambo kibao.

Tulikua tunagombana kila siku, katika kutukanana na yule Kaka ndiyo mume wangua akasikia akawa ananifuatilia akajua kuwa nimegawa hela zake tena kwa X wangu kwani anamjua. Alinitukana sana, alinitukana maneno ya kunidhalilisha, alikua na hasira sana mpaka kunitukania Mama yangu!

Kwa hasira niliondoka nyumbani, nikaenda kwa dada yangu ambapo nipo mpaka sasa. Shida nikuwa, mume wangu alipiga simu mara moja tu, alipojua niko salama kwa dada yangu mpaka leo hajanitafuta. Niliacha wtaoto wawili wote wanasoma, kawachukua kawpaleka kwa Mama yake kijijini bila kuniambia yeye anaendelea na maisha.

Dada ananiambia niende kumuomba msamaha lakini sitaki kwani alinidhalilisha sana, hasa kunitukania mama yangu. Nina hasira nataka anipigie yeye simu kuniomba msamaha hata kama nilimkosea lakini hakupaswa kunitukana vile, sijui nafanya ninia niombe msamaha kwani hapa kwa dada washanichoka wananifanyia visa tu na mimi sipendi, X wangu hela ndiyo kagoma kunilipa mpaka kaniblock nisidie kaka nifanye nini?
Akili za kike sometimes hazieleweki kabisa! Yaani mumeo kakutukania mama yako kumekufanya usahau kuwa mkosa mkuu ni wewe? Umesahau kuwa mumeo asingepanda hasira hadi kukutukania mamam yako kama usingeli mdharau na kumdhalilisha yeye kwa ex wako? Huoni kuwa ni tusi kubwa mno kuona shida ya ex wako ni bora zaidi kuliko ya mumeo? Mumeo amekupa pesa umhifadhie kwa sababu ashajua kuna shida inakuja mkabili lakini wewe ukatowa pesa zisizo zako ukempa ex wako atatue shida zake! Pppppssshhhhh! Tena kwa akili zako za kitoto umetoa milioni mbili kumpa mtu bila ya maandishi au shahidi na bila ahadi ya siku ya kurudishiwa na unataka mumeo akuombe radhi?

Look at this way, mumeo kamtukana mama yako (sawa amekosea sana tena sana!), lakini ni ni maneno tu alotumia hakumuumiza wala hakumtia hasara mama yako, na unless uwe umemwambia mama yako hatajua asilani, lakini wewe umemtia hasara mumeo na ushamharibia plan zake zote za maisha baada ya kuachishwa kazi. Umemuumiza kwa kumthamini zaidi ex wako kuliko mumeo na bado unataka akuombe wewe msamaha. I hope hata ikatokea ukiamua kumuomba msamaha asikusamehe! Huwezi kuchezea maisha ya mwenzako namna hii, nenda kaishi na ex wako, ooooppppssss huwezi kwa sababu ana mke ndani, ha!!!!
 
Cha kufanya msnge wewe tafuta 5M uende nayo kwa magoti huku ukilia na kusaga meno uombe msamaha mume wako
 
Skyler where's our drug Money?
You gave it to Ted?

Hahahahahahahaha hahahahahahahaha hahahaha!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜žπŸ˜žπŸ˜žπŸ˜žπŸ˜žπŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­
Mr white didn't know whether to cry or yellπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwenzako kakatwa mapanga huko kati. Kashazikwa.

We una bahati sana.

Au labda unataka mengine zaidi.
 
Nimeondoka nyumbani kwangu huu ni mwezi wa pili! Mume wangu kuna hela alinipa kama milioni 2, kwaajili ya kumuwekea. Mume wangu alikua ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi, sasa katika kampuni yao ni kama wanataka kuifunga hivyo mkataba ukiisha hakuna anayeongezewa mpya.

Mkataba wa mume wangu ulikua unaisha mwezi uliopita, tangu mwaka jana alijua kuwa ataachishwa kazi akawa anaweka hele zake kwenye akaunti yangu akihofia yeye kuzitumia

Lengo ilikua ni kazi ikiisha basi aanze biashara ikishasimama basi NSSF yake itakua imetoka anaongezea mtaji. Kuna Kaka nilikua naye kwenye mahusiano kabal ya mume wangu, tuliachana akaoa sasa tuliehndelea bdao kuwasiliana na mara nyingi alikua ananiambia kuhusu mambo yake ya ndoa na changamoto anazopitia.

Yeye ana kakampuni kakukopesha, nilipomuambia kuhusu hela ya mume wangu aliniambia kama vipi nimpe aizungushie ili kunilipa riba. Kwakua ni mtu nilikua namuamini na najua ana hela nilikubali, nikampa ile milioni mbili. Shida ikaja kwenye kunilipa, akawa ananisumbua ananiambia biashara zake haijaenda vizuri na mambo kibao.

Tulikua tunagombana kila siku, katika kutukanana na yule Kaka ndiyo mume wangua akasikia akawa ananifuatilia akajua kuwa nimegawa hela zake tena kwa X wangu kwani anamjua. Alinitukana sana, alinitukana maneno ya kunidhalilisha, alikua na hasira sana mpaka kunitukania Mama yangu!

Kwa hasira niliondoka nyumbani, nikaenda kwa dada yangu ambapo nipo mpaka sasa. Shida nikuwa, mume wangu alipiga simu mara moja tu, alipojua niko salama kwa dada yangu mpaka leo hajanitafuta. Niliacha wtaoto wawili wote wanasoma, kawachukua kawpaleka kwa Mama yake kijijini bila kuniambia yeye anaendelea na maisha.

Dada ananiambia niende kumuomba msamaha lakini sitaki kwani alinidhalilisha sana, hasa kunitukania mama yangu. Nina hasira nataka anipigie yeye simu kuniomba msamaha hata kama nilimkosea lakini hakupaswa kunitukana vile, sijui nafanya ninia niombe msamaha kwani hapa kwa dada washanichoka wananifanyia visa tu na mimi sipendi, X wangu hela ndiyo kagoma kunilipa mpaka kaniblock nisidie kaka nifanye nini?
Mama yako hajatukanwa, aliyetukanwa ni wewe.

Tusi ni muunganiko wa mameno kwa kutaja viungo vya uzazi vya kwako ama vya ndugu zako kwa njia ya kukera na kudhalilisha ili wewe unayetukanwa maneno hayo yapate kukuuma na kukuudhi.

Hakuna 'formula' ya tusi.

Kwa hiyo angekwambia: ...'k' yako, ungelikuja na kusema: 'kanitukania kiungo changu cha uzazi'?

Hata namna alivyokutakana kwa kumtaja mamako mzazi, kiuhalisia aliyetukanwa hapo siyo mamako mzazi bali ni wewe.

Jenga hoja nyingine yenye mashiko itakayokupa afueni ya utetezi kuliko hii ambayo tusi alilokutukana haliwezi kulipa gharama za matendo ya kifedhuli uliyomfanyia mumeo.
 
Mmeo alioa hasara moja wa ajabu.
Mi natamani niungane na mumeo kukutukana kmmke walahi.
 
Mama yako hajatukanwa, aliyetukanwa ni wewe.

Tusi ni muunganiko wa mameno kwa kutaja viungo vya uzazi vya kwako ama vya ndugu zako kwa njia ya kukera na kudhalilisha ili wewe unayetukanwa maneno hayo yapate kukuuma na kukuudhi.

Hakuna 'formula' ya tusi.

Kwa hiyo angekwambia: ...'k' yako, ungelikuja na kusema: 'kanitukania kiungo changu cha uzazi'?

Hata namna alivyokutakana kwa kumtaja mamako mzazi, kiuhalisia aliyetukanwa hapo siyo mamako mzazi bali ni wewe.

Jenga hoja nyingine yenye mashiko itakayokupa afueni ya utetezi kuliko hii ambayo tusi alilokutukana haliwezi kulipa gharama za matendo ya kifedhuli uliyomfanyia mumeo.
Ukitukanwa we utakubali
 
Back
Top Bottom