Mume wangu kaniruhusu nichepuke

Jamii Forums siku hizi imekuwa ya kipuuzi sana. Sijui ije option ya kulipia mapunguani waondoke
 
Huyu ana sexual mania aafu anajiona Yuko sawa.
 
Kwa mwandiko huu inaonyesha wewe ni wale wale ndo maana kakuruhusu kiroho safi
 
huu mwandiko niwamwanaume
Kasimulia kama mwanaume kutokana mfumo wake wa maisha wa kukaa sehemu zenye mazumgumzo ya wanaume zaidi ya yale ya kike, naye kaisha iga, mfumo huo "either" kwa makusudi au kwa bahati mbaya.
 
Inaonekana wote ni wababe ndiyo maana...

Tena wewe ndiyo unaonekana ndiyo mkorofi mpaka yeye anaamua kwenda kulala chumba tofauti...


Cc: mahondaw
 
Round 15 huyo ni mtu kweli? Au ana ululu wa ndizi? mme ana miaka 14?
 
Nko R Chuga pm tuyajenge ila picture ni muhimu itangulje nisije nkachart na jini maimuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…