mmmhhh
best angu nielimishe hapa adamu alifanyiwa nn ss
yaaani tangu julai mtoto anaharibika mama hajachukua hatua kweliiii jamani
Duuh nyie wanaume nyie,mlaaniwe,
Mtoto wako wa kumzaa kweli??
Siwezi kuwataka radhi,wewe mkeo hutosheki naye mpaka uhamie kwa mwanao?
Narudia tena walaaniwe wanaume wote wenye tabia za kuwagegeda watoto wao
Tutake radhi, unajua maana ya mwanamke? manayake aliyetoka kwa mwanamme. hivyo kusema turaniwe unamaana gani?
mh coral una hoja nzuri watz wengi ni waoga hata katika vitu ambavyo viko wazi kabisa.Yaani huyo mama mpuuzi kweli. Yaani eti anaogopa kupigwa na kufukuzwa sijui analinda nini hapo maana ndoa haipo tena.Bora kuwa mjane. Ahhhrrrrgh! Inatia kichefuchefu!.