Mume wangu hapendi sex

Unaonekana wewe ni mwanaume unaye jifanya mwanamke.

Thread zako nyingi ni za kutunga.

1. Juzi kama mwezi mmoja ulikua na jamaa wa muheza.. huyu wa leo amkujaje tena na huyo wa NMB?

2. Acha kuchezea bando za watu kwa nyuzi za kipuuzi.
 
Naomba na mimi nilize kama mutotoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
 
Angekuwa ndo mwanaume anapitia hayo ungempa ushauri huu huu?

Nimeona nikuulize dada Marianah unawasiwasi kwamba nisingemshauri? Maana yeye anataka ushauri nami naona huo ndio ushauri ufaao. Na mwanaume pia angeshauriwa kulingana na post yake
 
Angeshauriwa kutokana na post yake kivipi? Tufanye aliyeleta hiyo thread ni mwanaume na analalamika kuhusu mke wake ambaye hapendi sex na malalamiko tufanye ni hayo hayo tu je ungemshauri kama ulivyomshauri huyu mtoa mada? Au na wewe ndo wale wale wa "papuchi zipo nyingi usihangaike na moja hawa viumbe hautakiwi kuwa naye mmoja atakusumbua kichwa"?
Nimeona nikuulize dada Marianah unawasiwasi kwamba nisingemshauri? Maana yeye anataka ushauri nami naona huo ndio ushauri ufaao. Na mwanaume pia angeshauriwa kulingana na post yake
 
salut babu ushaul mzur sana huuu jaman, kama huaelewa bas jua hiv inakuita
 
Madame nakusikitikia umepoteza muda wako. Anyways ushauri wako unaweza kuwafaa wengine wenye changamoto
 
Vipi yule afisa mikopo wa kazin kwako ulimpa penzi tena au movie iliishia wap.....Tuanzie hapo kwanza
 
Njoo pm
 
nimemuomba awe anikuna tu nikiwa na nyege ila bado ananipotezea
Ikiwa huyu jamaa ana kukwepa na mumeo anakukwepa ujuwe tatizo sio mumeo au kazi ila angalia upande wako. Kuna kitu anakikwepa sijui kama usafi au uvivu kitandani.


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
kamwe heshima haiji bila sababu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…