Mume wangu ananinyima unyumba

Kuna kuna mtu kaanzisha thread yeye kanyimwa unyumba na mkewe. What a coincidence? kwanini msikutane maana nyinyi wote ni wanyimwa....
 
Kwanza Karibu JF. Na hongera kwa kutimiza miaka 46. Mumeo nadhani Ana miaka hiyo hiyo au zaidi yako. Labda muda wenu umepitiliza sasa angalieni jinsi ya kukuza vijana na wajukuu Kama wapo. Kuwa mpole IPO siku inashtukaga, Utapewa haki yako.
 
Ushauri bora kabisa mtoa Mada fuata hii ni muhimu (UVUMILIVU)
 
Kwanza Karibu JF. Na hongera kwa kutimiza miaka 46. Mumeo nadhani Ana miaka hiyo hiyo au zaidi yako. Labda muda wenu umepitiliza sasa angalieni jinsi ya kukuza vijana na wajukuu Kama wapo. Kuwa mpole IPO siku inashtukaga, Utapewa haki yako.
Ningekua na huo umri ningeshukuru kwa kuwa pengine nisingekua na hisia za mapenzi tena.siamini kama tendo la dakika 5-20 linaweza kuathiri ukuaji wa watoto.
 
WEWE UPO WAPI ILI TUKUTANE NIKUSHAURI
 
WEWE UPO WAPI ILI TUKUTANE NIKUSHAURI
 
Kuna vitu vya kususa lkn siyo hicho, atakuwa na matatizo hyo.. Ni pm kwa ushauri zaid
 
Pole mwaya.... Sasa ndoa ni tendo la ndoa kama unalikosa inakuwaje hapo? Kamsemehe kwa baba paroko.
 
Nakuomba Monica mtoto mzuri ni PM tuyamalize mamah. Kwanini uteseke wakati mimi nipo mamah.... Tafadhari ni PM mpendwa.
 
Ningekua na huo umri ningeshukuru kwa kuwa pengine nisingekua na hisia za mapenzi tena.siamini kama tendo la dakika 5-20 linaweza kuathiri ukuaji wa watoto.
Monika2 mie sijakurupuka. Kuna mada mtu akituma inabidi upitie profile yake ili uweze kumshauri kulingana na unayoyasoma kwenye profile yake. Kwa mujibu wa profile yako umezaliwa Jan 1, 1970. Pumzika mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…