Usijali endelea kua mvumilivu na kuchukua ushauri sahii ili usivunje ndoa yako kwa majaribu madogo,kipindi tunakua tuliona changamoto zote wanazopitia mama zetu juu ya baba zetu alkadharika baba zetu juu ya mama zetu,baba zetu wa mjini engine walipenda kushinda kwa warabu tu kula mirungi huku warabu wakiingiza pesa yeye anashinda tu bila faida,ile iliwapeleke kukosa hamu ya kula,kuwa karibu na famili hata kusuasua katika utaftaji,lakini mama zetu walikomaa na kipindi kile cha mpito kikapita na familia ikawa na furaha.YASHINDE MAJARIBU.sijui kwa kweli , nyumbani anarejea kuanzia saa tano wala hanywi pombe, na huwa simuhoji kwa lolote.
Inawezekana ana ugonjwa ambao hataki kukuambukiza. Hata hivyo pole. Kama mlifunga ndoa kanisani nenda kamweleze mchungaji wako.Habari zenu,
Mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili na nipo kwenye ndoa kwa miaka nane sasa.Tumekuwa tukiishi maisha ya ugomvi kwa muda na mume wangu, ila nikaona ni vyema nijishushe na nisihoji chochote.Mimi ndiye ninahangaika na familia na mambo yote hakai kujadili jambo lolote la maana na mimi.
Binafsi niliona nijishushe na nisihoji chochote ila tatizo limekua ni kwenye unyumba. Kwa kweli navumilia sana tunalala pamoja najitahidi kujiweka safi, kubadili mazingira ya chumba, manukato na hata mavazi lakini wapi!
Naweza nikamfanyia vikorombwezo vyote ila atageukia upande wa pili na kukoroma nimemsihi sana yeye anasema anawaza maisha hawezi kuendekeza ngono.Tunaweza kukaa mpaka miezi mitatu hatujakutana,hili swala linanikondesha jamani.
Naombeni njia ya kujinasua katika hili janga.
jf bhanaMonika2, naona tatizo la ndoa yako uenda lina mambo mengi yaliyojificha.
Lejea,
Mwanaume wa kuchart nae
ushauri, baba analazimisha kumpeleka mtoto kwa bibi yake
Jihadhari asijekuwa anakuepusha na jambo baya alilonalo na anaogopa kukueleza. Najua ni mateso kwako lakini.. take care!Habari zenu,
Mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili na nipo kwenye ndoa kwa miaka nane sasa.Tumekuwa tukiishi maisha ya ugomvi kwa muda na mume wangu, ila nikaona ni vyema nijishushe na nisihoji chochote.Mimi ndiye ninahangaika na familia na mambo yote hakai kujadili jambo lolote la maana na mimi.
Binafsi niliona nijishushe na nisihoji chochote ila tatizo limekua ni kwenye unyumba. Kwa kweli navumilia sana tunalala pamoja najitahidi kujiweka safi, kubadili mazingira ya chumba, manukato na hata mavazi lakini wapi!
Naweza nikamfanyia vikorombwezo vyote ila atageukia upande wa pili na kukoroma nimemsihi sana yeye anasema anawaza maisha hawezi kuendekeza ngono.Tunaweza kukaa mpaka miezi mitatu hatujakutana,hili swala linanikondesha jamani.
Naombeni njia ya kujinasua katika hili janga.
Unampotosha mwenziotatizo ni we kuwaza ngono, mpe muda mwenzio apumuwe.
he is a human being and not a sex machine, and the first sexual organ is the mind - mwenye masikio na asikie kile Roho ayaambia makanisa
ww"Mume na ampe mkewe haki yake,na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake. Mke hana amri juu ya mwili wake bali mumewe,vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake bali mkewe(2 korintho 7:3-4)
Mwambie mumeo tumeagizwa tusinyimane[emoji32]
Yes