Mume wangu ananinyima unyumba

Kweli watu ni tofauti mimi nikimuona Mama Watoto dushe lazima liinuke kumtamalaki
 
Duh pole sana uliolewa na marioo ss ww fanya ku ni pm tuone tuna fanyenye kutatua iyo issue
 
Ana chepuka.
 

sasa moniqa kipenz ndo umeona uje kunisemea humu kweli??? sawa bana ila ntakutaftia mwenzituu maana naona heshima inashuka mno.sasa kama hatuongei unazan ntakua nahamu na naniluu yako kweli??
 
sasa moniqa kipenz ndo umeona uje kunisemea humu kweli??? sawa bana ila ntakutaftia mwenzituu maana naona heshima inashuka mno.sasa kama hatuongei unazan ntakua nahamu na naniluu yako kweli??
haaa kumbe wewe

Sent from my Y3S using JamiiForums mobile app
 
Wataku
Badilisheni mazingira, badili namna unavotandika kitanda chenu, mpangilio wa chumba, wakati mwingine shusheni godoro chini, au hata kulala chini ikiwezekana, kuweni wabunifu wa kubadili mandhari ya nyumba(nyumbani hasa ndani)
Watakuwaje wabunifu wakati mwenzie hampi ushirikiano je akishusha hilo godoro jamaa akasema anataka kumroga na kuanza kumpa kipigo yangefanyika haya kama kuna maelewano cha msingi ni kutafuta mahusiano au urafiki/upendo ndani ya ndoa then ndio hayo makorombwenzo yafanyike ila mm ninachokiona ninkuwa mwanaume anapata shida na kujistukia Kwasababu hafanyi kazi cha msingi dada mtafutie kazi au mpe hela afanye biashara mwanaume yeyote asiyefanya kazi anatabia ya kujistukia kila akifanyacho mwanamke anaona anadhaluliwa mm nawajua washkaji ambao wako kwenye hali hii na wengine wameachana kabisa
 
Yaani umeshindwa kuvumilia mpaka umekuja kuyasema huku?
Ulidhani sitokuwepo?
sasa safari hii hutoniona nyumbani kabisa
Nimekwambia huu ni mwaka wa 'kazi tu' siyo sex mbona hunielewi wewe?

Imaginative comment
hahahaha yaani we jamaa umenichekesha sana, ndo umeamua kujivika uhusika
 
Pole sana dada ndoa zina mambo mengi

Usilazinmshe unyumba nyuma ya pazia unahepushwa na janga.

Jione kama mjane wa nje. Mwanaume anayekupenda hawezi kukubebesha majukumu ya familia na tena akakunyima unyumba.

Angalia maisha upya lea watoto wako.
 
Rahisi Sana. Ila Yahitaji Ujasiri. We Kuwa Unampotezea Na Uwe Bize Na Simu. Siku Za Wkend Hakikisha Unatimiza Majukumu Yako Yote Kisha Jipendezeshe. Kama Yupo Mwambie Unatoka Kidogo. Akihoji Mwambie Unafika Kwa Rafiki Yako. Mengine Yataendelea Kadiri Ya Hulka Zenu
 
HIVI HUYU NI MUME KWELI HALEI FAMILIA WALA HAKUPI UNYUMBA SO SAD
 
HUYU NI HATARI SANA KWAKO
 
kwa maelezo yako umesema mmekuwa mkigombana gombana so wanaume wengi hupoteza hamu ya tendo la ndo hasa anapokuwa na stress kama hizo za ugomvi jitahidi kutengeneza mazingira ya nyie kuishi kwa amani ili mmeo awe na hamu na ww
 
Kwa nini uteseke hivo? tayari ana nyumba ndogo huyo so tafuta mchepuko fasta ngoma droo hapo
 
K
Kwa kukufumbua tu hakuna mwanaume especially ambae tayar alishaijua ndoa anaeweza kukaa miez mitatu without having sex so kwa hesabu za haraka haraka iyo shuhuli ilishapata msaidiz my dear hapo unachapiwa
 
hapo hamna ndoa basi tu mpo kwa vile......hawazi ngono wakati sie tunawaza kuwa na hiyo nafasi ya kupata muda wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…