Jaribu pia ule mtandao wanaume wanaoupenda kwa sasa kwa mumeo
Ndicho alichofanya mama yako kumkeep baba yako?????
Ndicho alichofanya mama yako kumkeep baba yako?????
pole mamii, nakushauri kusanya vithibitisho vyote kuwa anacheat then ongea nae ukimpa hatua utakazochukuaa.
1) kama anakuhitaji kama mke aache.
2) mwambie utamshtaki kwa mtu ambe anamuheshimu mfano kaka ake, ustadhi au askofu aliyewafungisha ndoa.n.k.
3) ila ckushauri kuondoka huyo ni mume wako komaa nae hao wa nje wezi tu.
4) pia jichunguze kujua chanzo cha kuchet, ongeza mahanjumati, mtt jipambe, yaan zidisha mambo kunako 6*6.
Nikwambie cri...mm wangu alicheat ckuhizi nimejipanga vibaya..yaan nikimkamata kwa kitanda mpaka analia wakati hakuwahi b4.
Huyo hana hata chembe ya heshima juu yako, yazungumzeni ikiwezekana yafikisheni kwa wazee. Hakubadilika bora kila mtu ashike zake, atakuletea maradhi huyo.....mwache afe peke yake.
Hakuna kiumbe hai kitakachoishi milele death is a function of time
Kwahiyo wauwaji wote wasihukumiwe kwasababu we are all destined to die?
Aaah, kumbe kile cheo cha Revelant ulishanyang'anywa? Naona na wewe umeamua kuwa mtoto mbaya siku hizi unawafundisha watu maovu.Punguza mapungufu yako kwenye mapenzi mumeo atarudi! Jaribu pia ule mtandao wanaume wanaoupenda kwa sasa kwa mumeo
huna adabu wew binti!