Mume wangu ana wivu sana, nifanyeje?

Mume wangu ana wivu sana, nifanyeje?

Worldboss

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,932
Reaction score
3,766
Habari,

Huyu shemeji yenu amezidi wivu sasa maana hii wiki ya tatu sasa haendi kazini eti anaogopa kuibiwa hata kama wivu sio kwa sikiasi hiki jamani, hata mdaa wa kupumua sipati hii too much sasa.

Note: Hii haiusiani na mimi nimeireport tu
 
habari!!

huyu shemeji yenu amezidi wivu sasa maana hii wiki ya tatu sasa haendi kazini eti anaogopa kuibiwa.

hata kama wivu sio kwa sikiasi hiki jomoon, hata mdaa wa kupumua sipati.

hii too much sasa.
Usimlaumu saana inawezekana background yako inampa utata kikubwa jirekebishe na umwambie ukweli juu ya kujirekebisha kwako
 
habari!!

huyu shemeji yenu amezidi wivu sasa maana hii wiki ya tatu sasa haendi kazini eti anaogopa kuibiwa.

hata kama wivu sio kwa sikiasi hiki jomoon, hata mdaa wa kupumua sipati.

hii too much sasa.

note: hii hainiusu mimi.. kuna dada ndo analalamika juu ya mme wake mimi ni me.
limbwata uliyomfanyia nenda kamwambie mganga apunguze
 
Amwambie huyo mwanaume aache ujinga, mwanamke halindwi hvyo, kwanza wakiangaliana ndan muda wote watakula mawe?
 
Ndoa yenu ina miaka mingapi?Mmebahatika kupata watoto?.Ukinipatia majibu hayo nitakuwa kwenye nafasi ya kuchangia mawazo.
 
hii hainihusu mimi kwaiyo sina data kamili lakini watoto hawana
 
hata kama wivu sio kwa sikiasi hiki jomoon, hata mdaa wa kupumua sipati.

Yale yale ya jomon
 
ni sawa na ni haki yake kuwa na Wivu kwasababu anasimamia anachokiamini...

Ila naamini kwamba Wivu hutokana na wahusika wenyewe(wapenzi)
Ni lazima ujifunze kulinda cha kwako
 
Wiki 3 haendi kazini? Huyo katumbuliwa hataki tu kukwambia anasingizia wivu!
 
hii hainihusu mimi kwaiyo sina data kamili lakini watoto hawana
Unaletaje ambayo haikuhusu, na umeileta ili iweje kama ukiulizwa maswali huwezi jibu, je inayemhusu anajua kama umeileta hapa au alikuomba uilete?
 
mwenyewe kanambia niilete
 
Habari,

Huyu shemeji yenu amezidi wivu sasa maana hii wiki ya tatu sasa haendi kazini eti anaogopa kuibiwa hata kama wivu sio kwa sikiasi hiki jamani, hata mdaa wa kupumua sipati hii too much sasa.

Note: Hii haiusiani na mimi nimeireport tu
Pole labda una mpa huduma Nzuri
 
Wivu ni chocheo la mapenzi...acha moto wa mapenzi uwake ..usiuzime ndiyo mapenzi hayo
 
Habari,

Huyu shemeji yenu amezidi wivu sasa maana hii wiki ya tatu sasa haendi kazini eti anaogopa kuibiwa hata kama wivu sio kwa sikiasi hiki jamani, hata mdaa wa kupumua sipati hii too much sasa.

Note: Hii haiusiani na mimi nimeireport tu
Hakuna cha wivu wala nini. Kafukuzwa kazi huyo, anapoza stress.
 
Back
Top Bottom