Mume wangu ana michepuko mingi

Monicca amepotelea Zambia na tren ya mizigo!!!kisa cha kukumbia story Zake zinachanganya!!!! Moniii nini mbaya mama day!
 
Story Zake zinachefua sana as we ulidhani kwenye ndoa utakutana na nini the way you are? ?? Moniccca mdogo wangu acha uma pepe, ulifika ndani ukamnyima mapenzi sa and wapi?acha ajishindie house girl!!
 
lakini monicca mi naomba nikutupie lawama wew, unajia sisi wanaume kuna baadh ya tabia huwe hatuwez kuzificha kwa mda mrefu hata iweje, moja wapo ni katka tabia ya kupendapenda ovyo au tamaa! sasa najiuliza wew mpaka unaolewa au unawekwa ndani ulikua tayar umekaa na mpnz wako kwa ukaribu zaidi kwa mda gani? inamana hukufahamu kabsa kama anakufaa au hakufai? kama sio hvo, je haujahisi kama labda uwenda ukawa humridhishi vzur mumeo kitandan? au huoneshi mapenz ya dhati? au wew may be ndo wale wenye masharti kama mganga kwenye ndoa?
 
kugegedwa je nako hutaki? hauhutaji? pole sana , au ulikuwa unambania sana nini. alikuwa hatosheki. ulikoisea mwenyewe. ustaraabu nje mkingia chumbani wote geukeni malaya. mfanye vituko vyoote!! hapo angetulia. wenziwe wanamnyonyaga weee na mahanjam kibao!! wewe mke wa ndoa unajifanya mstaarabu!! ndo kosa. Hata

Hata sisi wanaume mke wangu nikiwa roomuni namtreat wahatever nambunua kweli kweli, hivyo ahata kijaribu jnje anaona marudio!!
 
Aisee moniccca anakupeleka, yaani kbs Unaumiza kichwa kumshauri
Hahahahahahaha itakuwa hamfaham Monica vizur, Mndengereko my dear that girl ni drama queen wa jamii forum cha msingi akusaidie tu kupoteza mawazo sio kukuzidishia
 
HUYU BINT NI MUONGO SANA HUYO MUME KAMA UNAYE ANATABU KUTWA NZINA KUMUANIKA JF SAIV HAUNGUZWI TENA GIA IMEBADILIKA.
 
alimsifia ana mgegedo mkubwa na mchezo anaujua, sasa maj yashingo. ila chai yake imepoa sasa hiv haina mvuto
 
news alert;nimemuacha mume wangu kwa sababu anachepuka
news feedback;nimeaua kurudiana na mume wangu kwa kuwa alikuwa akinijali japo ana michepuko
hizi ndoa bana kama mlima sekenke unazunguka unarudi ulipoanzia shitttttttttttttttttttttt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…