"Mume wangu ana jinsia MBILI"

Uongo wa kutunga na sielewi huyu ana maana gani.
 
Of course hemaphrodites wapo,ila hii story ni ya kutunga kama
 
nasikitika sana kuwa huyo mke ameshindwa kuficha hiyo siri as na yeye ndio pekee wa kumuona mumewe, ameniboa sana si angenyamaza tu hata kwenda kwa madaktari au popote wasipowajua kupata ushauri na kutokuja kwako.

unazani mumewe kamtuma kweli? mie naona yeye mke ndio kalazimisha waongee na wewe, angetaka ujue angekuambia tangu zamani au kabla hajaoa.

huyo mke anaona aibu ya nini angemuacha tu maana hii kitu itaweza kumfanya hata ajiue.

Sasa mie nakuomba uwasaidie uwatunzie siri yao hasa ya huyo kaka maana hii wewe na mkewe mkianza kuiongea nje mtamuaribia maisha, na uende ukaongee nao kuwaakikishia hilo. Kama umeoa jaribu hata kumficha mwenza, wanawake at times kuropoka kupo hata kisiri kwa ndugu zetu kwa haswa yasiyoyuhusu.

Ukae nao umuulize huyo mke kama hawezi fanyiwa operation na yeye yu mzima anaweza kumrizisha atachukua hatua gani? maana ndio inaweza hata mwaume akaaribika mambo yakienda vibaya. kama bado anataka ndoa wakapime kuwa anaweza zaa na iwe hivyo kama hataki aende zake mwanaume anaweza pata mwingine.

Ila mwanaume nae mmmh si angemuambia kabla ya ndoa...haya uko siendi.

naona wengi wanasema ya kutunga, kama ya kutunga oyaaa kuna wengi itawasaidia wakisoma humu, hii ni forum na kila mtu ana uhuru wa kuleta hoja yake/zao. ndio maana sio lazima mtu asome uzi na kuanza kuponda, soma na sepa zako.
 

ulipoanza mwanzo nilijua una strong reason lakini kumbe hoja nyepesi kabisa
 
Wahi haraka hospitali ukafanyiwe operation, ningekuwa mtaalamu wa hayo maeneo ningekufanyia kwa gharama nafuu!!
 
Haaaa eew Dawa ya Jiko wakati hajakuoa jamaa hakukugegeda?!! Unaolewaje kabla ya kujaribu hiyo Size kama inakukaaa looooh
 

inspector detective watu8
 
Last edited by a moderator:
Likeeeee! Kwa nn siri yake asmwambi docta, yeye ndo anaweza kumshauri kama ni opareshen au chochote cha kufanya kiutaalam, kuliko kumwambia huyu ambae ni mbeambea' yeye kakimbilia jf, watu bwana!
 
Haaaa eew Dawa ya Jiko wakati hajakuoa jamaa hakukugegeda?!! Unaolewaje kabla ya kujaribu hiyo Size kama inakukaaa looooh

......we Kijana nitake radhi tafadhali mi ni mwanaume lijali injini saba pu.mb.avu!
 
Nina wasiwasi na hii taarifa...watu wa literature watanielewa!!

of cooouz!
diction na characterisation havijakaa sawa mtani!
hata plot na yenyewe wala sio poa!
kimsingi hata kama ni synopsis hii waaala,
 

mi naringaje sasa na wewe mtani wangu!
huu mwaka ni kukomaa naeo tu hawa wanaotuzeeshea veyboard vyetu!
 
mi naringaje sasa na wewe mtani wangu!
huu mwaka ni kukomaa naeo tu hawa wanaotuzeeshea veyboard vyetu!

Wino wa keyboard yangu nimeamua nikaumalizie kule Siasani...
Halafu pia nimegundua hawa wenye kuleta hizi habari ni members wenye ID zaidi ya moja.
 

uliwahi kuishi Uingereza mkuu?...
 
Mbona hizi habari ya shemale zinashika kasi sana hapa jamvini?kuna nini au research?

Usiulize babu pigia mstari, hizi ni research jamaa wanafanya wanatafuta data kwa staili hii, wasanukieni
 

We unafanya research, umewekas stori yako ya kizushi hapa ili na sisi tufunguke kuhusu tunayo yajua kuhusu watu wenye jinsia mbili..Ulitegemea kupata comments like " Yeah hata mimi namfahamu mtu mmoja anakaa sehemu fulani, huyo mtu ana jinsia mbili and blah blah blah!" Kama unahitaji data omba watu wakupe zikusaidie katika utafiti wako kuliko kuandika sick story like this ukitegemea watu watafunguka.. UMEWEKA HICHO KIPENGELE CHA WAZAZI WA HUYO MTU WAKO WAKUCHONGA WAMEKUFA, ILI TUAMINI STORI YAKO....JIPANGE TENA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…