Street College
Senior Member
- Jun 1, 2012
- 151
- 430
Nimependa timing yao. Kesho tena waanzishe mzozo mida hiyo hiyomimi nipate mtaji? Leo tumezozana sana, walivyo na tabia mbaya, wameanzisha haya malumbano wakati wa kula. Hapa nipo na msongo wa mawazo, pia njaa ni kali maana nimegoma kula chakula chao usiku.
Naombeni ushauri, sielewi nifanye nn.
Bro miaka 29 unajiita kijana mdogo looooh mpaka hapo ushafeli badilisha fikra zako mkuuu hio ni 30 yrs bado huna dira mbaya zaidi unaishi na nyoka π huyo dada na mmeo sio ndugu zako bro kaa chonjo mkuuu π©π©π© halafu kwanini hukuchukua degree na muda umesonga hivyo mpaka unafikisha 29 huo muda wote ulikuwa unafanya nini π€π€π€π€Mimi ni kijana mdogo mwenye miaka 29, nimesoma diploma ya maswala ya afya, baada ya kuhitimu nilikaa sana kijijini bila ajira . Dada na mume wake wakaamua kuniita mjini nijaribu bahati yangu.
.
Huu ndo ukweli mchungu huyu dogo hayupo serious aseee π€Kijana mdogo 29 yrs?
Yani upewe hifadhi, ule na unye bure alafu kazi mpaka ufosiwe kufanya na bado hutaki?
Mkuu sikutukani ila wazazi wadai mahari ya pili, dada yako anakukataa kwa sababu anaona utafanywa mke wa pili.
Toka hapo katafute na ule kwa jasho lako π¬
Mtegemea cha nduguye hufa maskini.
Hazimtoshi kabisa, anavimba kama kwake vile.Huu ndo ukweli mchungu huyu dogo hayupo serious aseee π€
Kibaya zaidi ni mwanaume huyo aseee inasikitisha sana mpaka unamfosi mwanaume mwenzio akupe mtaji hii hali sio nzuri kabisa ππππ. Anyway tushamshauri aidha achukue au aacheHuu ndo ukweli mchungu huyu dogo hayupo serious aseee π€
Acha aendelee kukaa hapo hapo. Mambo yatakaa sawa tuπ πBro miaka 29 unajiita kijana mdogo looooh mpaka hapo ushafeli badilisha fikra zako mkuuu hio ni 30 yrs bado huna dira mbaya zaidi unaishi na nyoka π huyo dada na mmeo sio ndugu zako bro kaa chonjo mkuuu π©π©π© alafu kwann hukuchukua degree na muda umesonga hivyo mpaka unafikisha 29 huo muda wote ulikuwa unafanya nn π€π€π€π€
Daaah ila bro toka hapo toka hapo bro kabangaize chochote ila usikae kutwa hapo ndani
Ohoooo
wapo wa hivyo mkuu ila sio kwa shemejiπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Wewe wa kutiwa bakora kabisa. Shemeji yako siyo baba yako wala mama yako, sio wajibu wake kukulea na kukupa mtaji, hata hapo unavyoishi ni hisani tu.
BTW najua hii ni chai, miaka 29 hauwezi kuwa na akili za kitoto kiasi hicho π.
Mi nimeshangaa anasema kijana mdogo 29 yrs na wa 25 years atajiitaje sasa πAcha aendelee kukaa hapo hapo. Mambo yatakaa sawa tuπ π
Nilikuwa nafanya kilimo. sikuweza kusoma digreeBro miaka 29 unajiita kijana mdogo looooh mpaka hapo ushafeli badilisha fikra zako mkuuu hio ni 30 yrs bado huna dira mbaya zaidi unaishi na nyoka [emoji216] huyo dada na mmeo sio ndugu zako bro kaa chonjo mkuuu [emoji90][emoji90][emoji90] alafu kwann hukuchukua degree na muda umesonga hivyo mpaka unafikisha 29 huo muda wote ulikuwa unafanya nn [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Daaah ila bro toka hapo toka hapo bro kabangaize chochote ila usikae kutwa hapo ndani
Ohoooo
Achana na kilimo, kwann Ulime wakati shemeji yupo. Usikubali kuondoka hapo, wanaroho mbaya haoNilikuwa nafanya kilimo. Ckuweza kusoma digree
Huyo bado mdogo sana π π πMi nimeshangaa anasema kijana mdogo 29 yrs na wa 25 years atajiitaje sasa π
Mbona kilimo umeacha sasa mkuuu π© vipi hapoNilikuwa nafanya kilimo. Ckuweza kusoma digree
π angoje na urithi wa shemejiAchana na kilimo, kwann Ulime wakati shemeji yupo. Usikubali kuondoka hapo, wanaroho mbaya hao
Alafu jamaa badala ya Kusema shemeji, anasema mume wa dada π π ππ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Wewe wa kutiwa bakora kabisa. Shemeji yako siyo baba yako wala mama yako, sio wajibu wake kukulea na kukupa mtaji, hata hapo unavyoishi ni hisani tu.
BTW najua hii ni chai, miaka 29 hauwezi kuwa na akili za kitoto kiasi hicho π.
Daaah what a waste watu wana 23 tayari washachomoka home na hawarudi nyuma ohoo huyu dogo sijui anakosea wapi π€Huyo bado mdogo sana π π π
We jamaa mtumbad sana πΉπΉπΉπ΅Achana na kilimo, kwann Ulime wakati shemeji yupo. Usikubali kuondoka hapo, wanaroho mbaya hao