Mume wa mtu

afadhali mkuu umemuambia wewe kaniboa sana mpuuzi huyu kama ni kingereza basi aongee kingereza sio kutuletea upashkunata wake mfyuuuuuuuuuu!

Huyo mzoee tu hanaga story nyingine zaidi ya za mlengo huo..si unajua mtuu yaliyomjaa moyoni na kichwani ndo humtoka mdomoni? wanaume, kuhongwa na ngono 24/7 ndo zake
 
........Mkuu, huwa hawasemagi vyote hao!. Unadhani kwa jinsi jamaa alivyompata kiulaini namna ile atakuwa ameshindwa kumla kweli?

Amejaribu ku-skip baadhi ya "scene" katika movie yake ili ilete ladha aliyokusudia.

huwezi kuskip scene katika story fake...hii ni sun-downer!!! ili mradi muda usonge
 
Hata huko chuo anaweza asifike labda umuwahishe kuanza huduma ya uzazi wa mpango.

......Aha ha ha ha!! Kwahiyo akianza huduma ya uzazi wa mpango hatakuwa omba omba au umalaya hutokana na wanafunzi wa vyuo kukosa huduma ya uzazi wa mpango? very funny!!.

Nilitegemea kuona majibu ya aina hiyo kutokana na kutaja shughuli wa watu (Uma-laya), imekugusa!!

Ila asante kwa ushauri.
 
Story za saluun baada ya Umeme kakatika na hakuna generator
 

Unaipigia sala hadithi ya kutunga? Hata kama ni kweli huoni huyo ni mfanyabiashara ya ...
 
Unaipigia sala hadithi ya kutunga? Hata kama ni kweli huoni huyo ni mfanyabiashara ya ...

inakuhusu nini mie kuandika hivyo nimesoma post nimejibu nimesepa...iwe ukweli uongo wewe inakuuma nini na kuandika nimeandika mie nila kupoteza senti?
 

Penda usipende ndo mambo yaliyopo duniani
 
afadhali mkuu umemuambia wewe kaniboa sana mpuuzi huyu kama ni kingereza basi aongee kingereza sio kutuletea upashkunata wake mfyuuuuuuuuuu!

Hey... Somtymz its beta to pass if you don't understand.. Simple
 
hahahhaaaaaa..... eti akapiga deki.........deki c hupigwa palipochafuka? au....
 
booboo = "boobs boobs" or literally (m)boo ,
kitty = cat = "pussy/cunt"

its no rocket science, no thinking is required. you just have to see through it.
 
Ungeionja kidogo boobooo ya jamaa

Hukumtendea haki mshkaji kumwacha kwa style ile kwa sababu km ni........... tayari ulishafanya!
 

Umefanya vizuri sana! usifurahie mateso ya mwanamke mwenzio jua na ww yatakukuta km unavyomfanyia mwenzio, siku zote tenda mema mungu atakupa faraja. Umenifurahisha kwakweli, mungu akubariki sana
 
Join Date : 19th April 2015
Posts : 51
Rep Power : 315
Likes Received 23

Likes Given 27

[h=4]Top Areas Of Postin[/h]Mahusiano, mapenzi, urafiki 43
Mambo ya Kikubwa 4
JF Doctor 1
JF Chit-Chat 1




MTOTO WA SHULE MAJUKWAA YOOTE YA HUMU JF HAYA NDIO YALIYOKUVUTIA KUJIUNGA NA JF EEHH. KARIBU SANA KWA SASA JIANDAE HADI KUJENGEWA NYUMBA KUPITIA MWILI WAKO MAANA JF HAKUNA KINACHOSHINDIKANA ATI
 
.....mh! dushe hapa na papuchi hapa mwanaume aache kudumbukiza na ulikuwa ushapigwa deki ukakolea? .....I doubt!!!
 
Hii hadithi inanikumbusha kipindi kileee nasoma hadithi za Shaluwa au Irene Mwamfupe.. Jitahidi mama ukitoa hivyo vilugha vyako mbona utapata column pale Ijumaa wikienda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…