Mtoa post we fa-la- sana,kwanini ustumie lugha moja,au hako ka kingereza kako kanakunyegesha sana?
Ndio shida yenu kuombaomba pesa kwa wanaume kama machangu kha!!!
Ndio shida yenu kuombaomba pesa kwa wanaume kama machangu kha!!!
Nimedharau the way ulivyokua simple kuingia kwenye uhusiano na ulivyokua una omba omba vipesa.
All in all ur a good story writer
Da Pretty unavoshushua wadau ila penye ukwel ongea bhana
Hadithi njoo.... uongo njoo utam kolea!!!! mtoto wa chuo urudishe kilo nne Bongo, hapo mostly ni kupiga game na kujikaza kama hujaziona text