mume wa mtu

To me hizo hela unazolipiwa shuleni,unazopewa za kuhonga ni batili jamani tuambiane ukweli ,malipo ni hapahapa duniani utazirudisha kama ulivozipewa,unaawaumiza watoto tu ,achana nae jamani,mbona wanawake hivyo jamani????/
 
Kumbe na wewe umeshagundua hilo. Technolojia (digitali) imepunguza sana siku za mwizi...teh teh teh

ni bahati nzuri mwenye mali halali hayuko humu ila isiwe sababu, sababu za mwizi siku hizi zimepungua ni siku 15 tu kwisha.siyo 40 tena.
 

i miss you @lara1
 


Hapo Lara 1,sidhani kama utakuwa upo sawa kusemakuwa mkewe ndo anatumiwa,

Hivi jamani, kununuliwa gari na kusomeshwa chuo ndo vigezo vya kupendwa jamani,

mbona watu wengi tu wanayafanya hayo lakini si kwa kukupenda ila kujihalalishia kukutumia pasipo bugudha....

Shtuka lara 1......usidanganyike kwa kila unachokiona/ulichozoea
 
hukujua ni mume wa mtu.
sasa unajua ni mume wa mtu.... NAFIKIRI LA KUFANYA UNAJUA.
 
Wasiliana na mwalimu katlego.atakupa experience yake ya kuzaa na mme wa mtu
 
Last edited by a moderator:
jianda kwa yote kuna kufa au kuua ndio mengi yanayotokea kwenye ndoa nyingi Tanzania huyo mwanaume uwe naye makini kama unachuna basi chuna ukijiandaa kwenda kuanzisha familia nyingine nje ya hapo utegemee lolote mbeleni
 

Halooooooooooo! Mwenzio niko digitali! Kwa hio kuzalishwa, na kuwahi nyumbani saa kumi kuwasha mkaa na kubandika maharage, ulinde na nyumba hadi saa tano kidume kiko na kichuna cha haja student wanakula kuku kwa mrija soda kwa umma Kempisky! NANI ANAPEDWA HAPO?

I count my blessing now now not in the future.
 

utanibeba leo, umekunya soda zangu.

pole
 
nachukia sn watu wanaojua mtu ana mke na kuolewa mke wa 2 haiwezekani, wao wanaendelea kung'ang'ania tuuu. Nashindwa nishauri nn.:shut-mouth:

Ungesoma kwa makini hoja ya mwanzisha thread nadhani ungejua kwa nini kang'nga'ania! Sio rahisi kuondoka mara moja kama unavyofikiri
 

@lara1 na ayanda nawapenda sana. Natamani ningewajua nje ya jf. Mnayaangalia maisha kiuhalisia, jinsi yalivyo na sio jinsi yanavyotakiwa kuwa. Totoz ushauri ndio huu, kazi kwako.
 
Last edited by a moderator:

Hujui uliandikalo
 

ha ha haaaaaa, kweli hii chungu ila ndio dawa kama ulivyosema. Tulioolewa tujitafakari. Mbona kazi IPO!
 
mtoto kula maisha tunza heshima yako na umtunzie pia heshima yake, hakuna mtu humu ambaye atasema yuko na wake tu ni uongo na mbali ya hivyo hukujua kama ameoa,kuwa mwaminifu kwake
 

heh! stop......! mnnnyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu(msonyo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…