THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,761
- 15,108
mim ni msichana,nina umri wa miaka 22,ni mfanyabiashara, nina mchumba wangu na tunapendana sana alinipenda toka tukiwa wadogo mpaka leo niko nae na tunampango wa kuoana. Sasa kinacho nishangaza mim nikwamba,siku moja nikiwa kazin katokea kijana mmoja na kuniambia kuwa ananipenda sana na upo tayari kunipa kila kitu ninacho hitaji ila nikampotezea kwa kuwa ninae mchumba, akaendelea kunisumbua, nakudai ananipenda kupita maelezo, mim nikamuulizaje,kama kweli unanipenda kwa moyo wako wote funguka niambie ukweli juu ya maisha yako, ukweli hakusita kuniambia kuhusu maisha yake na ukweli wenyewe ulikuwa hv, ameoa na ana mtoto mmoja ila ananipenda mim kuliko mke wake. Sasa tatizo ni kwamba,one day kanipigia sm usiku nikapokea akaanza kusema hiv,hellow sweety ,uko pouwa! Nimekumis je? Nam nikamwambia niko pouwa mara mke wake akasikina na kusema ni malaya gan unampigia sm? Nakutaka uongee nae nikusikie akanigeuzia kibao na kusema, wewe dada unaakil timam nimelala na mke wangu alaf unanisumbua we mjinga nin,malaya wewe usie kuwa na aibu kama unawashwa kauze upate hela nyooko. Je huyo ananipenda kwel au anataka dampo. Ushaur plz....
You can't be serious.
ah mbona sharing is caring jamani...wewe mpe nae aonje utamu wa K yako bana. wanawake acheni kubani hizo K zenu
Umejuaje? Maana leo kaja na thread mumewe anamtesa,anadai ameolewa na ana mimba ya miezi 6 ila mumewe anampiga. Au majina yanafanana?
una uhakika kweli una miakd 22,hebu nenda kamuulize mama yako vizuri,utakuwa na miaka 16
nimemshauri kadri anavyotaka na anavyopenda yeye! siku wakigandana sisini kwenda kupiga picha tu na kuzileta hapa mtandaoni!ushauri mzuri sana nimeupenda
Mim ni msichana,nina umri wa miaka 22,ni mfanyabiashara, nina mchumba wangu na tunapendana sana alinipenda toka tukiwa wadogo mpaka leo niko nae na tunampango wa kuoana. Sasa kinacho nishangaza mim nikwamba,siku moja nikiwa kazin katokea kijana mmoja na kuniambia kuwa ananipenda sana na upo tayari kunipa kila kitu ninacho hitaji ila nikampotezea kwa kuwa ninae mchumba, akaendelea kunisumbua, nakudai ananipenda kupita maelezo, mim nikamuulizaje,kama kweli unanipenda kwa moyo wako wote funguka niambie ukweli juu ya maisha yako, ukweli hakusita kuniambia kuhusu maisha yake na ukweli wenyewe ulikuwa hv, ameoa na ana mtoto mmoja ila ananipenda mim kuliko mke wake. sasa tatizo ni kwamba,one day kanipigia sm usiku nikapokea akaanza kusema hiv,hellow sweety ,uko pouwa! nimekumis je? nam nikamwambia niko pouwa mara mke wake akasikina na kusema ni malaya gan unampigia sm? nakutaka uongee nae nikusikie akanigeuzia kibao na kusema, wewe dada unaakil timam nimelala na mke wangu alaf unanisumbua we mjinga nin,malaya wewe usie kuwa na aibu kama unawashwa kauze upate hela nyooko. je huyo ananipenda kwel au anataka dampo. ushaur plz....
Wewe mara mke wa mtu mara mchunba wa mtu. Mbona hueleweki?Mim ni msichana,nina umri wa miaka 22,ni mfanyabiashara, nina mchumba wangu na tunapendana sana alinipenda toka tukiwa wadogo mpaka leo niko nae na tunampango wa kuoana. Sasa kinacho nishangaza mim nikwamba,siku moja nikiwa kazin katokea kijana mmoja na kuniambia kuwa ananipenda sana na upo tayari kunipa kila kitu ninacho hitaji ila nikampotezea kwa kuwa ninae mchumba, akaendelea kunisumbua, nakudai ananipenda kupita maelezo, mim nikamuulizaje,kama kweli unanipenda kwa moyo wako wote funguka niambie ukweli juu ya maisha yako, ukweli hakusita kuniambia kuhusu maisha yake na ukweli wenyewe ulikuwa hv, ameoa na ana mtoto mmoja ila ananipenda mim kuliko mke wake. sasa tatizo ni kwamba,one day kanipigia sm usiku nikapokea akaanza kusema hiv,hellow sweety ,uko pouwa! nimekumis je? nam nikamwambia niko pouwa mara mke wake akasikina na kusema ni malaya gan unampigia sm? nakutaka uongee nae nikusikie akanigeuzia kibao na kusema, wewe dada unaakil timam nimelala na mke wangu alaf unanisumbua we mjinga nin,malaya wewe usie kuwa na aibu kama unawashwa kauze upate hela nyooko. je huyo ananipenda kwel au anataka dampo. ushaur plz....
AKIKUPIGIA TENA USIKU... nenda nyumbani kwake ukalale hukohuko...Mim ni msichana,nina umri wa miaka 22,ni mfanyabiashara, nina mchumba wangu na tunapendana sana alinipenda toka tukiwa wadogo mpaka leo niko nae na tunampango wa kuoana. Sasa kinacho nishangaza mim nikwamba,siku moja nikiwa kazin katokea kijana mmoja na kuniambia kuwa ananipenda sana na upo tayari kunipa kila kitu ninacho hitaji ila nikampotezea kwa kuwa ninae mchumba, akaendelea kunisumbua, nakudai ananipenda kupita maelezo, mim nikamuulizaje,kama kweli unanipenda kwa moyo wako wote funguka niambie ukweli juu ya maisha yako, ukweli hakusita kuniambia kuhusu maisha yake na ukweli wenyewe ulikuwa hv, ameoa na ana mtoto mmoja ila ananipenda mim kuliko mke wake. sasa tatizo ni kwamba,one day kanipigia sm usiku nikapokea akaanza kusema hiv,hellow sweety ,uko pouwa! nimekumis je? nam nikamwambia niko pouwa mara mke wake akasikina na kusema ni malaya gan unampigia sm? nakutaka uongee nae nikusikie akanigeuzia kibao na kusema, wewe dada unaakil timam nimelala na mke wangu alaf unanisumbua we mjinga nin,malaya wewe usie kuwa na aibu kama unawashwa kauze upate hela nyooko. je huyo ananipenda kwel au anataka dampo. ushaur plz....