Mume wa mtu ananitesa

Wewe ni mwanamke mpumbavu, namuonea huruma mumeo Kuwait na mke wa aina yako. Na watoto wako kwakuwa na mama wa aina hii (nisamehe kwa kusema hivyo). Bado huna hofu ya MUNGU
TUBU na acha kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana weeh wasikutishe,kama umefall we banjuka naye tu,kwani shing ngapi?wengi humu ndani wana machafu yao hadi shetan awaogopa.
Binafc natoka na mume wa mtu mwaka wa 5 sasa.Yuko vizuri,kiuchumi,kitandani,kupeana bata na mitoko kama yote.And soon namzalia kidume.raha jipe mwenyewe,usiwasikilize wataalamu feki wa mapenzi walojaa MMU,cause most of them are single and lonely,that's y wanashinda na kukesha jf ,wamegeuka kina mama na baba ushauri.hahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa yako wa Muheza ni mstaarabu manake hapendi kukuharibia Ndoa yako akili kichwani mwako, we jifanye kumpenda Mume wa Mwanamke mwenzio utakosa vyote.
 
Keshasema hamtoshelezi kitandani na hana du.du kubwa kama la jamaa,hahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wa mtu aliyeshindwa katika mahusiano. Hiki kichaka kimejaa watu wenye msongo wa mawazo sana, hasa katika mahusiano na uchumi.
 
Novela E Njoo nikupe dawa ya kukuondoa uoga wa kuchepuka angalo umuonjeshe mara moja tu, baada ya hapo yeye ndiye atakuwa anakutafuta.

kutoka: 22D Arnold st.
 
We pigwa p.u.m.b.tu mengine achana nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nikushauri kama watoto wa mjini..........
We live only once, and love is a feeling, it needs true chemistry to enjoy the intense passion like the one we see in movies, it is up to you to decide, sin does not exist when you follow your heart desire, sin is myth!
 
Sawa baba ushauri
Ungekuwa vizuri kwenye mahusiano usingekuwa unashinda na kukesha jf.SAA ngapi unampetipeti mwandani,if at all unaye?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kushinda na kukesha, hadi umejua nashinda na kukesha JF, basi una kazi sista. Ila kwa vile umeshasema kuwa una-date mume wa mwanamke mwenzako na unakaribia kuwa mama, means unapitia changamoto niliyotaja hapo juu(matatizo ya kimahusiano), wanaipitia wengi, huenda hata mimi nikaipitia siku moja. I'm human after all, lazima nipitie changamoto, ila kwa huo ushauri umemdanganya mleta mada, ataingia chaka...
 
Reactions: Pep
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…