Mume wa mtu ananitesa

Fuata ushauri wa M,tulia na mumeo.
Hujiulizi why M anakushauri utulie kwa mumeo??Kwa sentensi hiyo huyo M wala hakupendi angekuwa anakupenda angekomaa uendelee nae.
Halafu inaonekana wewe ndii unampenda zaidi kuliko yeye anavyokupenda.
Na ukicheat tu ukafumwa jua na M atakuacha trust me mana hapo hakuna mapenzi bali mwenzio anataka mfariji na baada ya ndoa yake kukaa vizuri hataki tena mazoea.
Jiongeze shosti tengeneza kwako kuzidi kuwa imara tena mwombe sana Mungu na jiweke karibu nae mana kuna janga linakuita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Im vere shua huandikagi vifupi ni vile tu hutaki tukujue ni nani weye.

Eniwei msikilize huyo bwana wa Muheza anakushauri vizuri.
 
Unahofu ya MUNGU na huku unampenda mume wa mtu na wewe unamume wako


Sent using Jamii Forums mobile app
Methali 14 : 1- 18
 
Ahahaha.Haya bana.Pole sana mjinga mmoja wewe mm sina cha kukushauri zaid ya kusema HUO UPUMBAVU achana nao
..
Binafsi nina miaka kadhaa kwenye ndoa na ninamshukukr Mungu sijawah kutana na hiz fujo za ndoani.
Lakin kila siku naposoma ujinga wa hawa kina dada huwa inanifanya nijiandae kisaikolojia tayar kwa vimbwanga maana duh!
Halaf angakia sababu zao sasa ndio utachoka.Ngoja niendlee kukaa mguu upande .Ahahahah
 
Tunza ndoa yako. You guys ni soulmates but in a wrong time.
Heshim ndoa yako.. huko kutamaniana mtakuja zini halaf shetani anapenya hapo hapo na kuvuruga ndoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana akili dunia hii ya utandawazi anatuma Picha za uchi na amejuaje huyo mume wa MTU ana mpenda! Mwanamke mwenzangu kuwa na akili ngoja mkewe afume hzo Picha azisambaze grow up
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada umeongea jambo zuri na lamsingi hapo chini,kama kweli unamuogopa MUNGU wako basi hili ni rahisi kulishinda.Kama kweli sote tungekuwa tunamuogopa Mungu haswa basi dhambi kama hizi za uzinzi n.k wala zisingekuwepo.Heshimu kiapo chako cha ndoa,ukichepuka tu nakuapia utaleta laana na machafuko ktk ndoa yako ambayo umekuwa ktk amani miaka hiyo yote.Mungu akutie nguvu,epuka tamaa yakutaka kutafunwa nje ya ndoa(kiapo)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…