Mume wa mtu ananitesa

Pepo la kuachika lileee,yaani kama Mme wako ni mcha Mungu wewe bado hujaokokoka,na siku akikujua utaumbuka mbele ya Madhabahu,utatengwa Kwa dhambi ya uzinzi jamii,wazaz wako na kanisa litakudharau na itakua ndio mwisho Wa mumeo kukupenda na kukuamini,hata akusamehe,Rudi msalabani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huna hofu ya Mungu wala nini.
Na kwa hili ipo siku utalipa,malipo ni hapa hapa duniani.
 
Punguza au acha ujinga kabisa...

Huyo jamaa kakushauri vizuri, ni wewe mwenyewe unataka kukipeleka..

Cc: mahondaw
 
Mi nasubiria zile picha za uchi zivuje tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na akiisha vunja ndoa yake huyo jamaa wa Muheza hataweza kumuona tena...atapoteza vyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…