Mume wa mtu ananitatiza

Mume wa mtu ananitatiza

Ila hajawahi kusema ananipenda. Hela ananipa ila msg anachagua za kujibu,huwa hatuchat labda kama tunataka kumeet(tho nataman niwe nachat nae sana), Hayuko romantic hata tukiwa wote haongelei mapenzi its like hana interest na mm ila kwenye kunjunju anahakikisha naenjoy.

Najua ana mke ila nmeanza kufall na ni my frst mchepuko ila s.times kuna vitu anafanya simuelewi. Kuna siku aliniuliza kitu ili kumjibu ilitakiwa "nifukue kaburi"(past rtnshp) mara gafla akakataa akasema niache,wakat yeye ndio kauliza.

Siku nyingne nkikataa kupokea hela zake anamind and unamuona sura imechange, Siku nyingine tena kanikuta naongea na mchumba wangu kwenye simu akasusa(japo hakusema ile simu ndio sababu ila alijifanya he has other thing to do,akaondoka).

Hatujawahi kugombana. wanaume wenye michepuko mkifanya hivi mnamaanisha nini? natamani kumuelewa zaidi,
wengi mtasema niachane nae ila ndo ananitimizia mahitaji yangu mengi sana.
Kuwa mwaminifu,acha ngono zembe. Anamaanisha wewe ni mtumiwa tu(dampo)
 
Watu wanawinda mithili ya chatu.... Nasubir mrejesho...
 
Nyie waume za watu mtuliage na wake zenu jamani. Acheni kuendekeza michepuko
 
Najua ana mke ila nmeanza kufall na ni my frst mchepuko ila s.times kuna vitu anafanya simuelewi
Kwanini usitulie na wako wanawake bwana, then kesho huyo mwanaume wako akimjua huyo uliyemzungumzia hapa akakupiga chini uje utupe mrejesho pia, na mkewe akikujua atakufanya kitu mbaya chapati utaiita hapati........................
 
Akili yako ni sawa. Utakuwa kati ya wanawake wajinga kama ni kweli uliyoandika ni wewe. Jitulize na ujiulize unayofanya ni sawa. ungefanyiwa wewe ungefurahi. Uzinzi, Uzinzi, ukimwi n.k.
 
Back
Top Bottom