wala sihitaji.....nakuonea huruma unavyotumiwa......kiburudisho......jitahidi utafute shughuli ya kukuingizia kipato ujenge maisha yako.......ukahaba hauna ishu siku hizi....tulia na mpenzi wako,,,, ridhika na kipato chake.....ni ushauri tuu...mbona hata we unao af hapa unajifanya mwema
na alivyo na akili fupi kaamini kabisa kuwa ka yake tamuKyuma tam, Kyuma tamu!!
Endelea kudanganywa ungekuwa na Kyuma tamu si angeshakuoa.
hata mimi uandisho wako umeniacha hoiAisee uandisho hoi mbali na habari yenyewe
this is so common,if you have something else to advice pleasewala sihitaji.....nakuonea huruma unavyotumiwa......kiburudisho......jitahidi utafute shughuli ya kukuingizia kipato ujenge maisha yako.......ukahaba hauna ishu siku hizi....tulia na mpenzi wako,,,, ridhika na kipato chake.....ni ushauri tuu...
umesemaje?? mwambie akuoe uwe mke wa piliananisifia nna kyuma tam,navutia plus(ila hajawahi kusema ananipenda)
hela ananipa ila msg anachagua za kujibu,hua hatuchat labda kama tunataka kumeet(tho nataman niwe nachat nae sana),
hayuko romantic hata tukiwa ote haongelei mapenzi its like hana interest na mm ila kwenye kunjunju anahakikisha naenjoy.
najua ana mke ila nmeanza kufall na ni my frst mchepuko ila s.times kuna vitu anafanya simuelewi.
kuna siku aliniuliza kitu ili kumjibu ilitakiwa "nifukue kaburi"(past rtnshp) mara gafla akakataa akasema niache,akat ye ndo kauliza.
siku ingne nkikataa kupokea ela zake anamind and unamuona sura imechange,
siku ingne tena kanikuta naongea na mchumba wangu kwenye simu akasusa(japo hakusema ile simu ndio sababu ila alijifanya he has s.thing else to do,akaondoka).
hatujawahi kugombana.
wanaume wenye michepuko mkifanya hivi mnamaanisha nini?
natamani kumuelewa zaidi,
wengi mtasema niachane nae ila ndo ananitimizia mahitaji yangu mengi sana.
Oa watu ukipita nyuma wanakung'onga kwa ufala wakoYaani unamchumba wako ila bado unatoka na mume wa mtu!
Haya mambo hata ndio yanafanya vijana wa kiume tusiwe na mpango wa kuoa
Unaitwa utandawazi ila naona ni kama ubumbuwaziKipindi cha nyuma kidogo kuna baadhi ya maneno ilikuwa ni ngum sana kuyaandika au kuyatamka lakini siku hizi hata jinsia ya kike wanayatamka. Tunakokwenda ni kubaya zaidi
Unaitwa utandawazi ila naona ni kama ubumbuwazi
acha umalaya.....hili ndo muhimu....this is so common,if you have something else to advice please