Ndio umeamua kuja kunianika hapa? Ole wangu!!
Muonjeshe mara moja tu, kisha mwambie kuwa hawezi kazi.
:rolleyez:mpe mwaya...
mume wa mtu mtamu..asikwambie mtu..
tena kila mtu ana mpenzi wake ndio inanoga zaidi,
akikutema si unarudi tu kwa mumeo?
:rolleyez:mpe mwaya...
mume wa mtu mtamu..asikwambie mtu..
tena kila mtu ana mpenzi wake ndio inanoga zaidi,
akikutema si unarudi tu kwa mumeo?
hapo kwenye RED mh......nilishapigwaga changa la macho ivi ivi.....Demu anapigiwa na jamaa ankupa cm anakwambia jamaa ananisumbua kumbe janja nyani kula indi mbichi!! dah hizi sanaaa sijui zitaisha lini!!:A S 101: Dont answer his calls, never reply his texts, au mpe mpenzi wako simu apokee akikupigia. Ila siku ingine usirudie kugawa namba ya simu hovyo hovyo sawa mama?
Kubadlishana namba na mtu haina kosa kwani by the time unampa mtu namba yako unakuwa unaestablish contact na huyo mtu. besides its a only a phone number ikiwa misused kama na huyu baba ambaye anataka kuchukulia advantage ndo inakuwa tatizo.
acje akakosa yote mpenzi wake atakapojua anachezewa rafu...JS gandana na mpenzi wako wachana na mtu asiye na future na wewe, kwanza mapenzi ya kuvuizia vizia ya nini kwa warembo kama nyie?
Alaaaa yeye JS alikuwa anategemea nini alipompa jamaa namba yake? Kwamba jamaa ataenda kuitundika ukutani hiyo namba kama pambo? Mademu bana...mtu unampa namba yako halafu akikupigia unalalamika...what the ***?
roselyne unahitaji maombi....wapi baba Askofu?
sie wanawake tunayo sana hio...kama mtu hana muelekeo unakaa mguu mmoja ndani mguu mmoja nje...!:target:
:rolleyez:mpe mwaya...
mume wa mtu mtamu..asikwambie mtu..
tena kila mtu ana mpenzi wake ndio inanoga zaidi,
akikutema si unarudi tu kwa mumeo?
inawezekana huyo mpenzi wa JS,ndio hana future naye...
mpaka kufikia kutoa namba yake,ni kwamba dada JS hafeel secured kwenye r'ship yake,,,
sie wanawake tunayo sana hio...kama mtu hana muelekeo unakaa mguu mmoja ndani mguu mmoja nje...!:target:
Rosey unaweza kuniruhusu mtumishi wako nikutafute kwenye PM kwa amani?
Nyie watu on a serious note lakini, is there a problem kutoa namba ya simu?? i mean its only a phone number and you never know iko siku unaweza kuhitaji msaada wa huyo mtu. Hatuishi dunia ya peke yetu ya kutokusaidiana.