as you can see, you are still needed baba Askofu!
Acha kucheka Asprin, Something is amiss in the whole thing....:A S angry:
Nipe kamba nyingine hapo, am still connecting dots... nitakupiemu kukupa jibu...
Ila kwa sasa... Mr. Infidelator and Ms. Infidelatee.... you should seek Jesus...😛ray:...😛ray:...😛ray:
:tape::tape::tape:Sasa nianze na nani?? wewe??
Anyway, Jeiesi... Hebu njoo chemba tutete juu ya hii kitu... hakuna kisichowezekana kwa Mungu... Memory kadi yake iliyotunza data zako itafutika ghafla...
Jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.
Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. ananitaka kimapenzi. nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there cant be anything between us. haelewi kabisa kagoma kuelewa.
Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??

Duh! maneno makali jamani halafu mdomo huumba akimdanganya yeye ni HIV+ mmh! acje akapata kweli lolJaribu kumwambia wewe ni HIV+ na hupendi kuambukiza watu wengine. Akikwambia na yeye anao mwambie mguu wako mguu wake mkapime, na majibu yakitoka hapo sasa ndiyo itakuwa mwisho wa kukufuata. Maana huyu ni lazima atakuwa mvurugaji na watu wa hivyo waoga sana kupima ukimwi.
Ila na wewe uache ushambenga wa kutoa namba ya simu kama maharage ya mbeya, maji mara moja tu.
Duh! maneno makali jamani halafu mdomo huumba akimdanganya yeye ni HIV+ mmh! acje akapata kweli lol
Upo sahihi mkuu, sioni sababu ya mtu kufikia hatua ya kujitabiria magonjwa ya hatari km hayo simply bcoz ya issue ndogo km hiyo, anapaswa tu amalizanenaye kidiplomasia zaidi.Duh! maneno makali jamani halafu mdomo huumba akimdanganya yeye ni HIV+ mmh! acje akapata kweli lol
Mwambie mkewe, hiyo ndo dawaJamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.
Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. ananitaka kimapenzi. nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there cant be anything between us. haelewi kabisa kagoma kuelewa.
Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??
Ukimpa papuchi tu atapotea mwenyewe huyo. sasa wewe una mpz wako halafu unampa namba mwanaume mwengine kwa lengo gani??Jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.
Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. ananitaka kimapenzi. nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there cant be anything between us. haelewi kabisa kagoma kuelewa.
Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??
kuna formular moja ya kimtaani inasema hivi,'ukimtongoza mwanamke hata awe mkali kiasi gani lakini akiwa anakujibu ongeza bidii utampata',mwanamke ambaye hataki kwa dhati huwa hajibu,iwe msg,simu au mazungumzo ya mdomo.pindi anaponyamaza mwanaume hushindwa kumwelewa msimamo wake na hivyo ku-surrender.Pole! ila cha msingi mueleze msimamo wako wa dhati juu ya mahusiano yako na umpendae kama ni muelewa atakuelewa, endapo kama ataendelea kuushupaza ufahamu wake basi mueleze mpenzi wako ukweli kwa msaada zaidi.
Kwa kizazi hiki tulichonacho ukitoa namba ya simu maana yake mtongozano umeisha na umekubali.Na yeye JS nini kilimfanya ampe namba mwanaume mwenye mke? Na yeye hana heshima ya ndoa ya huyo mwanaume...
:rolleyez:mpe mwaya...
mume wa mtu mtamu..asikwambie mtu..
tena kila mtu ana mpenzi wake ndio inanoga zaidi,
akikutema si unarudi tu kwa mumeo?