Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,362
Mpe hilo li flower ali pruneNimetoka tu nje ya geiti kununua mafuta ya kupika chakula, nikasikia gari ikipiga honi kuangalia ni mubaba muzuri ananiulizia wapi Kwa fulani , gari Kali nyie ananukia .
Eti dada samahani eti Kwa Fulani ni wapi? Nikamjibu sijui labda matoyo tuwaulize anakataa nikamwambia haya siku njema akadai naomba uje naomba unipe namba yako tafadhali nikikwama nikutafute .
Nikampa ili asinione mubaya basi nikaondoka ili kwenda tu hivi kadakika kamojaa akadai wewe mama ndio namba yangu mpenzi nikasema tena hii Kali .
Nikamuuliza tokea lini sisi wapenzi akadai tokea unipe namba mmh nikasema nimeposwa sitaki shari akasema hata Mimi nimeoa basi nikamwambia subiri niolewe . Tuwe pair akagoma akasema chasiri kizuri nikagoma bwana nampenda chotara sana .
Ni handsome na hajaoa nataka kutulia na huyu wa jf kanahela hakakazungu, kanapenda na mpenda humu jf yupo nanikweli .
Mtoa mada mmoja amedai tunatoa mada za kipuuzi sikuhizi hata chooni tu nikienda nasema sitawaliwi kuishi hii nchi sio yamarekani ni yetu
Wewe ni muha au unaishi Kivu ya kaskazini?Kiswahili gani sasa hicho ulichokiandika?Nimetoka tu nje ya geiti kununua mafuta ya kupika chakula, nikasikia gari ikipiga honi kuangalia ni mubaba muzuri ananiulizia wapi Kwa fulani , gari Kali nyie ananukia .
Eti dada samahani eti Kwa Fulani ni wapi? Nikamjibu sijui labda matoyo tuwaulize anakataa nikamwambia haya siku njema akadai naomba uje naomba unipe namba yako tafadhali nikikwama nikutafute .
Nikampa ili asinione mubaya basi nikaondoka ili kwenda tu hivi kadakika kamojaa akadai wewe mama ndio namba yangu mpenzi nikasema tena hii Kali .
Nikamuuliza tokea lini sisi wapenzi akadai tokea unipe namba mmh nikasema nimeposwa sitaki shari akasema hata Mimi nimeoa basi nikamwambia subiri niolewe . Tuwe pair akagoma akasema chasiri kizuri nikagoma bwana nampenda chotara sana .
Ni handsome na hajaoa nataka kutulia na huyu wa jf kanahela hakakazungu, kanapenda na mpenda humu jf yupo nanikweli .
Mtoa mada mmoja amedai tunatoa mada za kipuuzi sikuhizi hata chooni tu nikienda nasema sitawaliwi kuishi hii nchi sio yamarekani ni yetu
Hivi inawezekanaje mtu anaandika kiswahili alafu haeleweki kabisaa...
How!!??
NimechekaKeyboard yake ni ya Kisomali mixer Kirundi...
Ni kwamba ulifikiri sipo JF au?Nimetoka tu nje ya geiti kununua mafuta ya kupika chakula, nikasikia gari ikipiga honi kuangalia ni mubaba muzuri ananiulizia wapi Kwa fulani , gari Kali nyie ananukia .
Eti dada samahani eti Kwa Fulani ni wapi? Nikamjibu sijui labda matoyo tuwaulize anakataa nikamwambia haya siku njema akadai naomba uje naomba unipe namba yako tafadhali nikikwama nikutafute .
Nikampa ili asinione mubaya basi nikaondoka ili kwenda tu hivi kadakika kamojaa akadai wewe mama ndio namba yangu mpenzi nikasema tena hii Kali .
Nikamuuliza tokea lini sisi wapenzi akadai tokea unipe namba mmh nikasema nimeposwa sitaki shari akasema hata Mimi nimeoa basi nikamwambia subiri niolewe . Tuwe pair akagoma akasema chasiri kizuri nikagoma bwana nampenda chotara sana .
Ni handsome na hajaoa nataka kutulia na huyu wa jf kanahela hakakazungu, kanapenda na mpenda humu jf yupo nanikweli .
Mtoa mada mmoja amedai tunatoa mada za kipuuzi sikuhizi hata chooni tu nikienda nasema sitawaliwi kuishi hii nchi sio yamarekani ni yetu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi inawezekanaje mtu anaandika kiswahili alafu haeleweki kabisaa...
How!!??
mjomba imekuaje😃😃😥😥😥😥😥
Yani nimekuwa kama comment namba 17, ila nimeshindwa tu kuandika 😅mjomba imekuaje😃😃