Mume wa mtu ananilazimisha nizae naye

Status
Not open for further replies.
Ndugu mtanzania mwenzangu achana na mume wa mtu huyo akufai atakuzarisha kisha atakuacha kwenye mataa a upate tabu kulea watoto peke yako

mimi Mama ni mbena baba ni muhehe njoo PM tuyajenge ikiwezekana tufunge pingu za maisha
 
Sasa kama nia ya moyo wako ni kutaka olewa, kwa nini usisubiri mwanaume asiye mume wa mtu??
 
Kama wewe ni mashine za kuzalishia watoto zaa nae


Unajifanya umekolea kwenye penzi la watu,lete kimbelembele kwenye ndoa za watu utazeeka na watoto wa 5 baba tofauti

Uje humu utuite wanaume wote mbwa kwa upuuzi wako mwenyewe.

Jinga kabisa[emoji35][emoji35]
 
Unataka akazae na mwingine ila wewe muwe wapenzi tu kwa hiyo unataka muwe wangapi kwenye hako kagrupu kenu we mwanamke!
 
Pole sana ndilo naloweza kukushauri. Na pole kwa atakayekuoa maana utaendelea chepuka na huyo mme wa mtu tu.
 
Sasa wewe unataka uolewe ili mabinti wabichi waende wapi zaa nae tu maana ndo maisha uliyochagua waachie watoto nafasi
 
Hutasikiliza ushauri wetu. Let me keep my mouth shut
 
Hapo hamna kitu kama alikudanganya hanamke kumbe yupo wewe unaonaje hapo? Kukudanganya wewe ilikuwa sahihi kama anakupenda?

Huyo mzinguaji tu hana lolote utazaa nae na atakuacha mchana kweipe.

Jiulize kama wewe alikudanganya ameshadanganya wangapi?

Kifupi mko wangapi ambao hamjuani?
 
Hii ndio k2 nachukia wakati mimi sijaoa na sina wakumwoa afu wewe unatoka na mme wa mtu ambaye ameshaoa vp jamani lakini aaaaahh JAMANIII
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…