Habari wana JF.
Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 5. Nipo kwenye mahusiano na mume wa mtu.
Awali alinidanganya hana mke kwamba waliachana, niligundua ana mke baada ya kuwa nae kwenye mahusiano kwa miaka miwili. Tulizama kwenye penzi zito kila mtu alinogewa na penzi. Toka tunaanza mahusiano wimbo wake ni kuwa nizae na mimi kutokana na maamuzi yangu nikaona baadae itanikosti kuwa double mother.
Kinachonisumbua ni hivi karibuni aliniambia kama sitaki kuzaa nae tuachane. Mimi nikamwambia tuendelee kuwa wapenzi ila kuzaa atafute mtu mwingine azae nae kwa sababu kwetu wanahitaji sana niolewe kwa process zote japo sijapata wa kunioa.
Ushauri nifanyeje katika mahusiano ya namna hii