Mume wa demu wangu wa zamani

Mume wa demu wangu wa zamani

hata hamna faida ya kujiunga huko,sioni faida zaidi ya watu kuuza sura tu huko na mashindano hasa kwa wanawake,vdume viko huko kujaribu bahati zao,na wengi wanabahatika,siku hizi kila kitu kimerahisishwa.

Kumbe? Ngoja nikajiunge kule nikajaribu bahati yangu!
 
facebook?

Mimi huwa naona imekaa kitoto sana. Siwezi kuweka hata picha yangu kule!!

Ila kitendo cha Mume wa Ex-GF wako kukutafuta ni cha hatari sana. Sitaki hata kukutana na mtu wa namna hiyo endapo hatukuwahi kufahamiana kabla. Inauma sana na watu wengine hawaamini kama uliachia mzigo kabisa.

Huyo ni mtu wa kuepuka kama ukoma!!
 
ha haaaaaaaaaaa. wewe hujui ngumi? si mnapigana tu?
kwa kweli hata mimi facebook situmii kabisa. Anyway, kila mtu na starehe zake, wengine ndo wanaburudikia huko
 
Mpendwa dada FP,

Sasa tupaganie nini wakati mke wake nilishaachana naye na wala sipiti tena kwenye anga zake? Yeye lazima ndo atakuwa na kinyongo tu kwa sababu kajua kuwa nilimtangulia kufika kule mahali.

Ila akithubutu kucheza na my wife wangu hapo lazima zipigwe hata ikibidi kutafuta majeshi ya kukodi....Weeee chezea pengine lakini siyo kwenye makazi ya King!!!
 
mkuu DC mwangalie FP anataka kutudanganya bure hapa watu tupigane bila sababu lol
 
wanasemaga yaliyopita si ndwele..................... na mtu na akili zake hawezi kumtafuta x BF wa mkewe, si walishamalizana! sasa zamu yako kutawala. tawala kiukweli ili asikumbuke waliopita
 
mkuu DC mwangalie FP anataka kutudanganya bure hapa watu tupigane bila sababu lol

ha haaaaaaaaaaa. umeshtukia Kaizer? nakumbukia enzi zangu, nilikuwa napenda sana kuchora mstari.......... atakayeruka.......
 
:a s 13::a s 13::a s 13:

hata hamna faida ya kujiunga huko,sioni faida zaidi ya watu kuuza sura tu huko na mashindano hasa kwa wanawake,vdume viko huko kujaribu bahati zao,na wengi wanabahatika,siku hizi kila kitu kimerahisishwa.
 
ha haaaaaaaaaaa. wewe hujui ngumi? si mnapigana tu?
kwa kweli hata mimi facebook situmii kabisa. Anyway, kila mtu na starehe zake, wengine ndo wanaburudikia huko
kwa sababu bado hayajawakuta bado!
 
Kuna demu niliwahi kuwa naye halafu tukapotezana 5 years ago, sina hata contacts zake. Leo nimefungua facebook nikakutana na message ya mwanaume nisiyemfahamu ananiomba urafiki wa facebook. Kwa kuwa simfahamu, nikasita, nikaamua ngoja niangalie kwanza profile yake, nikaenda pale kwenye photos nikakuta album yenye picha kama za harusi nikaifungua. Nikakuta kweli ni picha za harusi, na zina maelezo ya tarehe na mahali ilikofungwa ndoa na ukumbi ilikofanyika harusi, picha 37 jumla. Na bibi harusi ni yule aliyekuwa demu wangu.

Imenipa maswali mengi. Huyu mume wake kanijulia wapi mimi, au huwa wananizungumzia? Na kwa nini ananitaka urafiki? Wakuu hii imekaaje, hakuna mtego hapa?

just ignore him
 
mkuu DC mwangalie FP anataka kutudanganya bure hapa watu tupigane bila sababu lol

Mkuu hapigani mtu hapa.

Kwanza jamaa mwenyewe ndo yuko anajitafutia ugonjwa wa moyo. Hata hivyo sina hakika FP anajua mtazamo wa wanaume kuhusu EX-BF wa mke au GF wake. Kwa wengi ni mtu ambaye ukisikia jina lake mwili unaanza kukuwasha kama enzi zile mtu kameza Chloroquine. Ma Ex-BF wa wake au GF wanawanyima baadhi ya watu usingizi.

Bora tuliokwishakubaliana na hali... Kauzoefu kansaida sana Bro!
 
Mimi huwa naona imekaa kitoto sana. Siwezi kuweka hata picha yangu kule!!

Ila kitendo cha Mume wa Ex-GF wako kukutafuta ni cha hatari sana. Sitaki hata kukutana na mtu wa namna hiyo endapo hatukuwahi kufahamiana kabla. Inauma sana na watu wengine hawaamini kama uliachia mzigo kabisa.

Huyo ni mtu wa kuepuka kama ukoma!!

Neno ndiyo hili, mlume anahisi jamaa bado anajipinda na mali zake.
 
Mkuu hapigani mtu hapa.

Kwanza jamaa mwenyewe ndo yuko anajitafutia ugonjwa wa moyo. Hata hivyo sina hakika FP anajua mtazamo wa wanaume kuhusu EX-BF wa mke au GF wake. Kwa wengi ni mtu ambaye ukisikia jina lake mwili unaanza kukuwasha kama enzi zile mtu kameza Chloroquine. Ma Ex-BF wa wake au GF wanawanyima baadhi ya watu usingizi.

Bora tuliokwishakubaliana na hali... Kauzoefu kansaida sana Bro!

Hiyo ni kweli kabisa tena kwa kiwango cha juu sana.
 
ha haaaaaaaaaaa. umeshtukia Kaizer? nakumbukia enzi zangu, nilikuwa napenda sana kuchora mstari.......... atakayeruka.......

Yaani nimekuona ulivotakakuchora mstari hapo nikasema HATUDANGANYIKI hee!
 
Kuna demu niliwahi kuwa naye halafu tukapotezana 5 years ago, sina hata contacts zake. Leo nimefungua facebook nikakutana na message ya mwanaume nisiyemfahamu ananiomba urafiki wa facebook. Kwa kuwa simfahamu, nikasita, nikaamua ngoja niangalie kwanza profile yake, nikaenda pale kwenye photos nikakuta album yenye picha kama za harusi nikaifungua. Nikakuta kweli ni picha za harusi, na zina maelezo ya tarehe na mahali ilikofungwa ndoa na ukumbi ilikofanyika harusi, picha 37 jumla. Na bibi harusi ni yule aliyekuwa demu wangu.

Imenipa maswali mengi. Huyu mume wake kanijulia wapi mimi, au huwa wananizungumzia? Na kwa nini ananitaka urafiki? Wakuu hii imekaaje, hakuna mtego hapa?

Watoto wa kitaa wanasema mpotezee na tambaa zako kijotijoti.

Huyo jamaa hana lolote zaidi ya kutaka kukujua undani wako. Inaonekana hajiamini hivyo anataka kujua ni mtu wa namna gani alikuwa anam**za mkewe kabla ili ajilinganishe nae, ni tatizo la watu wengi wenye low self esteem and lack of self confidence kwenye mapenzi. Akigundua kuwa kwa mtazamo wake wewe si lolote wala chochote basi huwa wanafurahi na kuamini mkewe hawezi kurudi tena kwako, lakini akigundua mzee uko safi (ex: handsome au una kipato kizuri) basi atajitahidi kumchimba mkwara mkewe na kufuatilia ukaribu wenu. Sasa kwa siku hizi facebook ni starting point nzuri ya kumjua mtu (kama ame register huko) kuna watu hata wana-disclose ajira zao kwenye facebook kwa hiyo, kwa kifupi adui yako anataka kukufahamu kwa undani ili akupime.
 
Mkuu hapigani mtu hapa.

Kwanza jamaa mwenyewe ndo yuko anajitafutia ugonjwa wa moyo.
Hata hivyo sina hakika FP anajua mtazamo wa wanaume kuhusu EX-BF wa mke au GF wake. Kwa wengi ni mtu ambaye ukisikia jina lake mwili unaanza kukuwasha kama enzi zile mtu kameza Chloroquine. Ma Ex-BF wa wake au GF wanawanyima baadhi ya watu usingizi.

Bora tuliokwishakubaliana na hali... Kauzoefu kansaida sana Bro!

yaani hapo ndo penyewe kabisa mkuu....ya nini malumbano bana
 
Unajua mimi nina tabia ya kuaccept tuu urafiki kwa facebook bila kwenda deep.
Ngoja ntaanza kuwa makini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom