Facebook? Ngoja nicheki na Kaizer wa kule yaani RR!
hapo kuna namna tu si bure,labda alishamuona mke wake akipitia pitia picha zako mara kwa mara,anyway nahisi si bure bwana.
kuwa makini hapo.
Hebu niambieni kwa nini nijiunge facebook kama mambo yenyewe ni haya? please convince me otherwise
Kama Asprin hapo akiingia kesho yake lazima wamfate nyumbani na taa na mienge.......RR siwezi kusema kabisa:hand:
mmh wanakuongelega wenzako ....iyo siyo coincdence iyo njimbi ina wvu sana so anataka kujua km mnaendele aau vp!!!!
usikubali km vp chat kwanza na mkewe km una cntact zake umwulze niaje mumeo kuntaka urafik?
wwanakutaja ao au mkewe alishawai kukutaja kat kat ya majamboz,au ndo zle swaga za yan bfrend wangu dula yan alikuwa anani...yan alikuwa ana..sasa yule jamaa ndo anataka wats da hell he is......b carfl
uskubali mwaya km demu wake asi ulishamwacha ktambo sasa nin?
Kuna demu niliwahi kuwa naye halafu tukapotezana 5 years ago, sina hata contacts zake.
Au ignore kamavipi!Nakushauri kitu kimoja delete facebook account yako moja kwa moja haina maana yoyote zaidi ya kuanika hadharani tu
hata hamna faida ya kujiunga huko,sioni faida zaidi ya watu kuuza sura tu huko na mashindano hasa kwa wanawake,vdume viko huko kujaribu bahati zao,na wengi wanabahatika,siku hizi kila kitu kimerahisishwa.
Au ignore kamavipi!
we sokomoko vp bwana?kwa nini niibie?kwan wewe unaibika?Ndio maana wanaosoma ni wengi mwisho wa siku wanaofaulu ni wachache ina maana hata kuibia kwenye JF huwezi bi rose? duh we kiboko