Mume na mke!

wa stendi

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
16,082
2,000
Mume!!yaani mke wangu kila siku hua nakusikia unasema!!tv yangu!!
Nyumba yangu!!
Watoto wangu..
Gari langu!!
Mke! Kimya!!
Mume!!yaani hua nakushangaa sana unapowaambia watu hivyo kila kitu chako wakati mimi na wewe ni mume na mke yaani tumeoana mwili umekuwa mmoja!!jirekebishe bhana hizo kauli zako!!
Mke!!akaendelea kupekua nguo kwenye droo la kabati lake!!
Mume!! Yaani mimi nakusemesha hata hutaki kunijibu.. haya nini unatafuta huko!
Mke!! Sidiria yetu!!
 
M

MKOMBOZI1

Senior Member
Aug 22, 2012
187
195
Ha ha ha ha ha h!! Hayo si mambo ya muungano
 
Top Bottom