Mume Na Mke Chumbani.

Mume Na Mke Chumbani.

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,536
Reaction score
15,751

MUME: "Unajua mi unanishangaza sana, kila siku nakusikia mara useme TV yangu, gari yangu, chumbani kwangu, mara hoo watoto wangu. Sisi ni mke na mume, kila kitu ni chetu. Jirekebishe bwana".
Mke ananyamaza kimya anaendelea na shughuli zake za kupekua kabatini kama hasikii, na hakumjibu kitu mumewe.
MUME: Akamuuliza kwa hamaki,"Sasa hapo unatafuta nini?".
MKE: "Sidiria yetu".
 
hahhhahhhhahhhhahh:becky:
 
Back
Top Bottom