Mume mwema

Dinam

Senior Member
Jan 19, 2011
116
28
Hodi tena kwa mara nyingine wapendwa mimi ni mama wa mtoto mmoja ana 10 yrs na mimi nina 42 ninahitaji mtu wa kuwa nae kama mume awe nae labda ana mtoto angalao mmoja ili tuanzishe familia awe hajaoa. Mimi ni mkristo mlutheri na, nimechoka kukaa peke yangu upweke umenichosha. Kwa aliye tayari anipm ili tuweze kuwasiliana zaidi.

Please nipo serious ila naomba kejeli, maneno ya kashfa hayahitajiki
 
Ndo maana nimeleta hii post huna haja yakuuliza mbona bado
 
Hodi tena kwa mara nyingine wapendwa mimi ni mama wa mtoto mmoja ana 10 yrs na mimi nina 42 ninahitaji mtu wa kuwa nae kama mume awe nae labda ana mtoto angalao mmoja ili tuanzishe familia awe hajaoa. Mimi ni mkristo mlutheri na, nimechoka kukaa peke yangu upweke umenichosha. Kwa aliye tayari anipm ili tuweze kuwasiliana zaidi.

Please nipo serious ila naomba kejeli, maneno ya kashfa hayahitajiki
nimekuzidi miaka kumi na kidogo je nipange foleni?
 
Ni pm mama nina dudushele tamu balaa,hakika upweke wote utaisha na furaha VS afya ya akili na mwili vitarudi
 
^^
Uwe na wingi wa uvumilivu, kumpata aliestahili ubavu wako kunahitaji gharama ya muda na moyo wa utulivu.
^^
 
Hodi tena kwa mara nyingine
wapendwa mimi ni mama wa mtoto mmoja ana 10 yrs na mimi nina 42
ninahitaji mtu wa kuwa nae kama mume awe nae labda ana mtoto angalao
mmoja ili tuanzishe familia awe hajaoa. Mimi ni mkristo mlutheri na,
nimechoka kukaa peke yangu upweke umenichosha. Kwa aliye tayari anipm
ili tuweze kuwasiliana zaidi.

Please nipo serious ila naomba kejeli, maneno ya kashfa
hayahitajiki

I understand your loneliness, Im lonely too!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom