ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
nimekuelewa nawasubiri wataalaam waliobobea katika haya mavituuuz
Just to quote few;Habarini bandugu marafiki zangu wote na wasio marafiki pia.
Tutafanyaje kumpata mchumba mwema (mume) kwa kizazi hichi jamani na je kwanini haya maneno hayakuandikwa kwenye Bible? kwani sisi madada tunachanganyikiwa nami pia yameniconfuse mwenzenu kabisa wala sijaelewa, kwani Mume (Mwanaume) mwema hapatikani kwa Bwana? au ni versa vesa tu hapa.ambayo imewekwa, kwani hakuna wanaume wema wa kuolewa nao.? Ndo mana nimependa niwashirikishe jambo hili la kiimani tuchambue kidogo. kwani huwa nikisoma vifungu hivi vinanitatiza sana. Nakuwa sielewi kabisa my frendo. HAKUNA MWANAUME MWEMA TOKA KWA MUNGU?
Karibuni mabestito kwa uchambuzi zaidi hapa.
halafu mby zaidi tunajua wanatumika..lkn wanaleta mbwembwe....Tatuzo lenu mnatumika sna , afu mtataka tuwaowe. Pia mnaleta mapenzi ya kwenye tamthilia sna.
hahahahahahaha...umesahau mungu alimuumba ADAM na 'HAWA' sasa hapo kwenye "hawa"..ndio tunatakiwa....kuwachagua nyie akina hawa maana mko wengiMi nahisi maandiko yametutenga wanawake mana wanaume tu ndo wameelekezwa kwe2 ila sisi twapataje waume wema haijasema ! Ila kwa akili zangu mi nahisi maandiko yameona jinsi gani wanawake 2livyo MUHIMU sana katika jamii,kanisani,shuleni,nyumbani na kwengineko that y wanaume wameelekezwa kuchagua MKE MWEMA ili asikosee kujenga ama kuendeleza FAMILIA iliyonjema mana mwanaume anapoteleza tuu! Ndo hayo unaskia mara mwanamke kaomba talaka,mara mke haelewani na mama mkwe,mala kafumaniwa full vurugu! All in all mamaa Lady MUME WAKUFANANA NAWE anapatikana kulingana na INTEREST ZAKO,TABIA ZAKO, + MAOMBI YA KUKUTANISHWA NA HUYO MUMEO MTARAJIWA baasi! Ni hayo tu my dia!
Tatuzo lenu mnatumika sna , afu mtataka tuwaowe. Pia mnaleta mapenzi ya kwenye tamthilia sna.
Kwa ujumla vijana wa kike na kiume wana wakati mgumu sana wakati wa kumpata mwenzi wa maisha. Inakua rahisi kwa mwanaume cse yy ndo mfanya maamuzi japo nao wana wakati mgumu cse mapenzi ni. Vise versa : vile unavyo mpenda mwenzako sivyo atakavyo kupenda.
Kikubwa ni kumuomba Mungu tukiamini mume na mke mwema anatoka kwa Lkn tunapaswa kua na subira ktk kusubiri majibu. Usilazimishe tamaa zako kua majibu.