Mume, mipaka yake kwa mkewe mwisho wapi

Mume, mipaka yake kwa mkewe mwisho wapi

Morning MMU,
Naombeni mawazo yenu kuhusu binamu yangu, kaolewa 6 yrs iliyopita,
Hapo wanzo 2 yrs , shem alikua mkarimu , ana mapenzi na ndugu, anshiriki kwenyeshida na raha, after some time akabadika cjui ni ubize, ikitokea ishu ya mkusanyiko, anshiriki mkewe peke yake, mkewe anamwambika kaniwakilishe asi hadi misibani anaka kuwailishwa, hali imekua mbaya now, sasa hataki mkewe atoke tena, iktokea ni msba basi awe blood sis or bro ndo aruhusu na akisafiri hata kuzika basi ageuze kesho yake mapema,vinginevyo anaambiwa abaki hukohuko.

Majuz ulitokea msiba wa mtoto wa babaake mkubwa mwanza, basi akagomewa kwend mbaya zaid mkewe akaomba kaka yake amuombee ruhusa mmewe katoa maneno machafu eti mbali mkewe hawez kwenda.

Bi dada kafosi kaenda, msbani wamumuwekea kikao abaki na mumewe asiwashirikishe kwa lolote na wao hawatamsumbua.Kurudi mume kamwambia last warning akienda tena atachagua.

Hakuna msaada wowote toka ka wake, mama mkwe kamwambia umeolewa mskilize mume, tumshauri jamani

Mi namshauri Amsikilize mumewe
 
Nianze na suala na uhuru wa mwanandoa

Kimsingi ndoa ni makubaliano ya watu wawili na hata huo uhuru unapoanzia na kuishia ni kutegemea na wao wamekubaliana vipi kwa ni sio uniform,jambo moja linaweza kuwa ni lazima wanandoa fulani washirikiane lakini jambo lilelile kwa wanandoa wengine hawashirikiani

Hivyo kwenye suala hilo ni kutegemea na mlivyokubaliana lakini kuolewa au kuoa sio mwisho wa kufanya mambo yako binafsi au kutokuwa na "praivesi"

Nikija kwenye situation ya huyo rafiki yako ni kwamba huenda huyo jamaa kuna jambo limemfanya abadilike au halivyokuwa zamani ilikuwa ni acting tu kama vile ambavyo wengi wanafanya siku hizi ili wawanase watu wanaotaka kuwanasa kwenye mahusiano

Inaweza kuwa amegundua mkewe tabia yake sio nzuri na huko misibani na kwenye vikao ndiko anakpoatia mwanya wa kufanya mambo yake na njia aliyotumia ni kumzuia kwenda huko kwani kawaida watu tunatofautiana namna ya kulitatua tatizo na wengine wanatatua jambo kwa njia za ajabu sana na mojawapo ni hii,huyo shemeji yako huenda hiyo njia ndiyo aliyoiona njema kutatua tatizo hili [kama ni hilo]

Lakini pia huenda amegundua kuwa kuna watu wanamfukuzia mkewe na njia aliyochagua ni kumzuia nyumbani kwa sababu kitendo cha kujua hayo kimemfanya akose kujiamini kabisa

Lakini lililo kubwa sana na ninalodhani ndilo tatizo lake ni kuwa ana tabia ile ya mfumo dume na ubabe ambayo wanayo wanaume wengi kidogo,wanataka kuonesha Uanaume wao kwa ubabe zaidi kuliko uwajibikaji kwenye familia wanataka mkewe asiende mahali bila ruhusa yao,kwa kifupi asifanye chochote bila ruhusa yake,wanataka wake zao wawe kama wale mbuzi wanaofugwa,hawawezi kwenda popote bila uangalizi
Hao wana tatizo la kimalezi na ili kuwaondoa hapo ni hadi wapate ushauri wa kisaikolojia.Kitu kingine cha kustaajabisa ni kuwa wanakuwa wanajua kabisa tabia hiyo sio nzuri na ndio maana wanaificha mwanzoni ili wawapate wanaowahitaji na wakisha wapata huact kwa muda kisha wanarudia halizao za zamani na hapo ndoa huwa chungu sana,watu hawa hua ni mafundi wakubwa wa ku act na mhusia ni vigumu sana kuwajua

Huyo dada anatakiwa aoneshe msimamo na ajisimamie maana huyo jamaa atamfanya kabati au stuli ya kukaa ndani tu,amwambie namna tabia hiyo asivyoipenda na ikiwezekana atafute mtu ambae huyo mumewe anamuheshimu na ajaribu kumshirikisha kumshauri mumewe

Maisha hayawezi kwenda kwa aina hiyo!

Mkuu mama mkwe wake kashindwa, kuna wa kumueshimu zaidi ya mama mzazi? tatizo lipo moja wapo kati ya uliyoyaorozesha zaidi hayo mawili ya mwanzo hili la mwisho kidoogoo maana wanaume sikuhizi wamebadilika wengi sana wanapunguza ubabe
 
kwa shida na raha ahamie mazima kwa mume, asahau kwao
 
Aisee hii taasisi ya ndoa kila kukicha haikosi vijimambo!!! shetani anaigonga sana maana anajua kila kitu kinaanzia katika familia kupitia uumbaji!!!! Cha msingi ni upendo, kuelewana na kupeana uhuru!! nani kasema mke au mume anachungwa?? Tena kutaka watu wafahamu mambo yenu ni aibu sana!!!! Ila mwanaume huyu atakuwa amejiharibiwa, atajidharaulisha sana kwa ndugu!!!
 
Morning MMU,
Naombeni mawazo yenu kuhusu binamu yangu, kaolewa 6 yrs iliyopita,
Hapo wanzo 2 yrs , shem alikua mkarimu , ana mapenzi na ndugu, anshiriki kwenyeshida na raha, after some time akabadika cjui ni ubize, ikitokea ishu ya mkusanyiko, anshiriki mkewe peke yake, mkewe anamwambika kaniwakilishe asi hadi misibani anaka kuwailishwa, hali imekua mbaya now, sasa hataki mkewe atoke tena, iktokea ni msba basi awe blood sis or bro ndo aruhusu na akisafiri hata kuzika basi ageuze kesho yake mapema,vinginevyo anaambiwa abaki hukohuko.

Majuz ulitokea msiba wa mtoto wa babaake mkubwa mwanza, basi akagomewa kwend mbaya zaid mkewe akaomba kaka yake amuombee ruhusa mmewe katoa maneno machafu eti mbali mkewe hawez kwenda.

Bi dada kafosi kaenda, msbani wamumuwekea kikao abaki na mumewe asiwashirikishe kwa lolote na wao hawatamsumbua.Kurudi mume kamwambia last warning akienda tena atachagua.

Hakuna msaada wowote toka ka wake, mama mkwe kamwambia umeolewa mskilize mume, tumshauri jamani

Yawezekana huyu jamaa anaona mambo mengi yanashindwa kwenda kwa sababu ya kila jambo likitokea hata ngoma tuu binamu yako anataka kwenda hivyo kaamua kupiga marufuku kwenda sehemu yoyote. Lakini hujasema kama huyo binam yako anauwezo kipesa au anamtegemea shemejio hata nauli yakwenda huko kunako 'matatizo'. Ushauri wangu huyu dada jipime kama bado anafaa kuwa mke wa huyo jamaa halafu achukue hatua.
 
Lazima kuna jambo haiwezekani jamaa aamue kufanya hivyo 4 nothing,humu kwny familia kuna v2 vingi sana vya ajabu vinavyoweza kumfanya mtu afikie uamuzi kama huo.....Respect his decision.
 
Mkuu mama mkwe wake kashindwa, kuna wa kumueshimu zaidi ya mama mzazi? tatizo lipo moja wapo kati ya uliyoyaorozesha zaidi hayo mawili ya mwanzo hili la mwisho kidoogoo maana wanaume sikuhizi wamebadilika wengi sana wanapunguza ubabe

Mama yako mzazi hakosei?

Akikuambia ukaibe utakwenda kwasababu unatakiwa umheshimu?

Pia inaonekana hujasoma ukaelewa nilichoandika
Hebu rudia!
 
heheheheheheh

kwani ndoa ni kifungo?
ndoa haina maana kuwa mmoja anakua mtumwa wa mwenzie
huyo jamaa ni mfujaji wa hisia (muone Mtambuzi) kwa maelezo zaidi
 
Last edited by a moderator:
Huyo mwanaume anatafuta tu visingizio vya kumnyanyasa au kumuacha mkewe. Mke awe ngangari... kama kuachika poa, maisha vyovyote. ..
 
Huyo mwanaume anatafuta tu visingizio vya kumnyanyasa au kumuacha mkewe. Mke awe ngangari... kama kuachika poa, maisha vyovyote. ..

WE Tuko, ndoa hizi zilivyo tamu akiachika arudi wapi
 
Huyo amtii mume wake tu...akimtunishia msuli hiyo ndoa itakuwa ndoano
 
Back
Top Bottom