Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,707
- 1,729
Siku moja tulikuwa tukijadiliana na mama mmoja (mke wa mtu), mfanyakazi mwenzangu, masuala ya jamii na alishangazwa kusikia jamaa yetu mmoja akisema yeye huwa akitandika kitanda takriban siku zote anapoamka wa mwisho. Je wana JF wenzangu hii mnaonaje?