Hapana nakataa kabisa..... Mimi nmelelewa na mama zaidi lakini simuiti mume baba namchukulia kama mume na rafikimara nyingi mwanamke alielelewa na mama pekee bila baba anamchukulia mume kama babaake, yani zaidi ya mume
Kama mtu wa miaka kati ya 26 - 29 wa zamani basi balaaa atiiNyie wa zamani banaaaa skuiz vijana wanamengi
spinderellaInarusha stimu. Natumia jina lake na mm napenda kusikia akitamka jina langu. Hata baba nanihii na mama nanihii.... boooring[emoji20]!
ndo mana nimesema mara nyingi, sio mara zote.Hapana nakataa kabisa..... Mimi nmelelewa na mama zaidi lakini simuiti mume baba namchukulia kama mume na rafiki
Haaaahaaaa majukumuNi heshima ya kiwango cha juu kwa kumudu majukumu
Hii ni zaidi ya heshima, ukiitwa hivi ujue unatimiza wajibu wako vizuri ndani ya nyumba.Wadau,
Hasa mlio katika ndoa, Je hili jambo la baadhi ya wanawake kuwaita wame zao baba je ni heshima iliyotukuka au ni uoga?
Naangalia profile yako naona umezaliwa May 5, 1990. Mwaka huo nilikuwa nimesha balehe na fikiria nini kingetokea kama Mama yako angekuwa karibu yangu (Eddo).akuanzaye mmalize.. dharau umezianza wewe
Inarusha stimu. Natumia jina lake na mm napenda kusikia akitamka jina langu. Hata baba nanihii na mama nanihii.... boooring[emoji20]!
maza kashazipata salamu, ila kasema kisingetokea kitu coz una kidole cha mtoto [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Naangalia profile yako naona umezaliwa May 5, 1990. Mwaka huo nilikuwa nimesha balehe na fikiria nini kingetokea kama Mama yako angekuwa karibu yangu (Eddo).
Sitakujibu lingine, ila msalimie Mama..
Kidudu
first born ana 7 mkuuUmesema unawatoto wakubwaaa
It dpend da way it's soundhata, haifai, kidini hasa uislamu ni kinyume cha maadili,,,,,,huwez kumuiita mke wako mama, wakati still mnalala pamoja
yani tumekosa romantic word ya kimapenzi hadi tuitane majina yanayowapa hadhi wazazi wetuu,, ndo kila kitu kimepewa mpangilio wa majina
eti " baba twende tukalale"