Mume kuitwa baba na mke wake

[emoji36] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mmmmh kwa elimu yangu ndogo ya dini yangu au sikumuelewa mwalimu Madrasa ni kwamba ukimeita mkeo mama ni talaka tayari maana uwezi mpanda mamayako pia ukimwita mumeo baba ivyoivyo ni taraka sio mapenzi wala busara make/mume kuitwa au kuitika ivyo kwa mwenza wake
 
Heshima nzuri ya kukupa title halali kuwa ni mume wake na umlee mkeo vizuri adeke kwako kama yuko kwa baba yake yani umpende na ye akuheshimu
 
Nimewai kumuona mke amemsave mme wake ktk simu hivyo yaani Baba hii sasa ndo balaa
 
Lakini neno halibadilishi uhalisia km vile mtu akuite wewe nyani haikubadilishi wewe kuwa nyani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…