Mume kuitwa baba na mke wake

Mume kuitwa baba na mke wake

Mchepuko: baby vipi hilo bwege lipo.
Mke: hayupo katoka
Mume: unaongea na nani?
Mke: baba hebu wacha matani yako hebu kale chakula chako.
Mchepuko: baba yako kaja lini?
Mke: tokea juzi
Mchepuko: ok tukutane pale pale kesho basi baby.
Mke: sawa kesho basi acha nikamwekee chakula baba.
Wewe kubali kuitwa baba tu.
 
Inapendeza sanaaaa....ni sehemu ya uboreshaji penzi la ndoa.
 
Wadau,

Hasa mlio katika ndoa, Je hili jambo la baadhi ya wanawake kuwaita wame zao baba je ni heshima iliyotukuka au ni uoga?
Kinyume chake hada wewe unamiita Mama ..yaani heshima ya juu sawa na unayompa baba au mama yako.
 
To each their own. Mama watoto anaita baby na mimi baby. Siku nikisikia jina langu limetajwa najua kishanuka tayari.
Hehehe . Kuitana kwa endearments ni nzuri pia, baby, luv and so forth na kutumia majina yenu keeps the relationship fresh, yaani kama ilivyokuwa mwanzoni. I know i love to hear him say my name, but then that's just me!
 
Back
Top Bottom