Mume kufariki baada ya mke kumuacha

Mume kufariki baada ya mke kumuacha

pia matatizo hayo yali weza kunifanya ni kakosa kabisa kufanya mtihan wangu wa four 4 vizur kutokana na kuchanganyikiwa na matatizo ambayo niliokuwa nayo na kupelekea kuomba wa fadhili wakunisaidia na kujiendeleza na masomo yangu kiukweli nilipata na kuendeleza masomo yangu ila walijua kama mimi siwezi kuwa na mzazi wa namna hiyo basi waliamua kukaa na mama yangu hili kumshauri nikaenae niweze kumaliza masomo yangu alikubali lakini kwa shingo upande na pale walipo anza kutoa pesa kwa ajiliya kuenda kulipa ada waliweza kumtumia mama ili hawezekulipia maana halijifanya kakubali makosa yake na kupelekea wazamini kukubaliananae na kumpa pesa za karo ya shule lakini yeye akuweza kulipa bali wali kwenda bar na mumew na kuzitumia pesa walizo tumiwa kwa kunjwa pombe na kujitapa mbele yangu wewe ni mtu wakusoma ww nimtu wakwenda kulinda kaburi la baba yako mahali halipo na maneno mengi walizungu mza na kujikuta na fikia hatua na kumpiga baba wakambo na kufukuzwa nyumbani na kutabatapa kwenye mitaa kutafuta maisha.
 
pole sana, unasomea nini hasa kwenye computer? Nina dada yangu hapo dar anaweza kukusaidia...kama unaishi dar
 
Naishi Dar maeneo ya kinondoni mahakamani ndo kwanza na jifunza nini maana ya compture
 
kweli lakini bila kuwa na muongozo mzuri wa maisha na wakujiwezesha kama kijana sinitakuwa kama nduguzangu wanao kaba na kuiba mitaani.
 
Kuna msefenge mmoko yupo huku anajinadi kapolondo ana uzoefu mtafute atakusaidia braza mtapata khabari zake six month later!! teh tehe kok! kok! !!!!
 
pia matatizo hayo yali weza kunifanya ni kakosa kabisa kufanya mtihan wangu wa four 4 vizur kutokana na kuchanganyikiwa na matatizo ambayo niliokuwa nayo na kupelekea kuomba wa fadhili wakunisaidia na kujiendeleza na masomo yangu kiukweli nilipata na kuendeleza masomo yangu ila walijua kama mimi siwezi kuwa na mzazi wa namna hiyo basi waliamua kukaa na mama yangu hili kumshauri nikaenae niweze kumaliza masomo yangu alikubali lakini kwa shingo upande na pale walipo anza kutoa pesa kwa ajiliya kuenda kulipa ada waliweza kumtumia mama ili hawezekulipia maana halijifanya kakubali makosa yake na kupelekea wazamini kukubaliananae na kumpa pesa za karo ya shule lakini yeye akuweza kulipa bali wali kwenda bar na mumew na kuzitumia pesa walizo tumiwa kwa kunjwa pombe na kujitapa mbele yangu wewe ni mtu wakusoma ww nimtu wakwenda kulinda kaburi la baba yako mahali halipo na maneno mengi walizungu mza na kujikuta na fikia hatua na kumpiga baba wakambo na kufukuzwa nyumbani na kutabatapa kwenye mitaa kutafuta maisha.
 
sikuweza kurudi tena nyumbani kwa kosalile maana mama bado alilkuwa na machungu kwanini nimefanya tukio kama lile ndani ya nyumba yake na kumdhalilisha kwa kumpiga mumew. Niliamua kwenda kwa watu ambao hapo mwanzo walikuwa marafiki wa baba yangu na kuwaeleza maktukio yalio nikuta katika mkasa wa kumpiga mume wa mama yangu na kuwaomba msaada walau wa kukaa ili nimalizie elimu yangu walikubali lakini kwa mashariti ambayo yalifanya ni ishi kama mtoto wa mitaani kwa kuwa nili kuwa na kwenda shule uku nauza mitumba nilikuwa sipati mda wa kujisomea kwakuwaa nilikuwa na choka sana kwakuzunguka na mitumba mitaani ndipo napata pesa ya kula chakula nikienda shule na toroka ili ni waikuenda kuunza mitumba ndipo ni pate pesa ya kulipa karo ya shule,kununua madaftari,kununua nguo na kununua vitabu na kulipia pesa ya mtihani wa taifa necta ambayo ilikuwa sh 35,000 kwa tarehe za mwazoni lakini mimi nilikuwa wa mwisho kulipia ikabidi nilipie sh 50,000 ambayo niliweza kufanya kaziya kuuza mitumba,kuchota maji kwenye majumba ya watu ndani ya mwenzi mmoja ndipo nilipo pata fedha hiyo na kwenda kulipa bank ya NBC ndipo tulikuwa tuna peleka pesa kwajili ya kufanya mtihani wa four 4.
 
sikuweza kurudi tena
nyumbani kwa kosalile maana mama bado alilkuwa na machungu kwanini
nimefanya tukio kama lile ndani ya nyumba yake na kumdhalilisha kwa
kumpiga mumew. Niliamua kwenda kwa watu ambao hapo mwanzo walikuwa
marafiki wa baba yangu na kuwaeleza maktukio yalio nikuta katika mkasa
wa kumpiga mume wa mama yangu na kuwaomba msaada walau wa kukaa ili
nimalizie elimu yangu walikubali lakini kwa mashariti ambayo yalifanya
ni ishi kama mtoto wa mitaani kwa kuwa nili kuwa na kwenda shule uku
nauza mitumba nilikuwa sipati mda wa kujisomea kwakuwaa nilikuwa na
choka sana kwakuzunguka na mitumba mitaani ndipo napata pesa ya kula
chakula nikienda shule na toroka ili ni waikuenda kuunza mitumba ndipo
ni pate pesa ya kulipa karo ya shule,kununua madaftari,kununua nguo na
kununua vitabu na kulipia pesa ya mtihani wa taifa necta ambayo ilikuwa
sh 35,000 kwa tarehe za mwazoni lakini mimi nilikuwa wa mwisho kulipia
ikabidi nilipie sh 50,000 ambayo niliweza kufanya kaziya kuuza
mitumba,kuchota maji kwenye majumba ya watu ndani ya mwenzi mmoja ndipo
nilipo pata fedha hiyo na kwenda kulipa bank ya NBC ndipo tulikuwa tuna
peleka pesa kwajili ya kufanya mtihani wa four 4.

pole sana dogo, pigania haki yako hadi dk ya mwisho na umtegemee sana mungu. nilikutwa na matatizo yanayofanana na hayo japo nilifanikiwa kuyakabili.
 
pole sana ndugu,mi ninachoona hapo ni wewe kuwa mpiganaji haswa manake kama unavyosema huna unapotegemea,ina maana unajitegemea mwenyewe ondoa sense za utegemezi na siku zote usikate tamaa wala kukubali kushindwa
sababu hicho ndo chanzo kikubwa kwanini mwanadamu hafanikiwi.
Usijali maisha yana changamoto nyingi sana we jipe moyo tu one day itakua poa.
najua inauma ila kwa mtu aliye timamu kama wewe huwezi kushindwa na pia everybody has his/her own destiny baba na mama ni njia tu ya kupitia
 
Pole sana. mama yako alichagua njia yake na wewe komaa na maisha yako. nani anakulipia ada?
 
pole san
pambana na maisha mungu atakusaidia usichague kazi ya kuafanya ile utakayopata ifanye kwa moyo mola hamtupi mja wake
 
Pole sana story yk inasikitisha sana jaman hebu muulize mama yk kama ndie yy kakuzaa au alikupa wapi maana mi mpk mda huu cjamuelewa vzr huyo mama jaman
 
Back
Top Bottom