Nadhani bado mtoto na hakua ready kwa ndoa ts just ni zile ndoa za kufoece kisa Rafiki zake wameolewa au umri unaenda but she still a girl not a woman
She probably don't know what her responsibilities are
Halafu.mleta sredi sijui katokomea wapi aje ajibu hoja zetu apa?
Heshima sana kwakoNimesoma majibu humu ndani kama yana ukweli..wanawake siye ni sababu kubwa kuwasukumia wanaume kwenye michepuko.
yetonii..umeona eeh!!
kila kitu sebleni siku hizi..aaaah!!
anambembeleza mme acheke eti!!..kama mimi nakuacha unune tu kwan unakufa?!,nikitaka game nazama kikauzu kauzu,na we ukitaka naachia tu hamna aah!wala uuh!, ni maliza yako toka...
Naona Leo dunia imejua kwann kwako sihemi maninaaaaaa
hivi kama mume ana hamu mi sina inakuwaje........, ni lazima ni do hivo hivo
au mi nikiwa na ham ye hana tunafanyaje
Stop being selfish
Nahisi hujui maana ya ndoa
Besides sio ww tu hata yeye hana ruhusa juu ya mwili wake muda wwte unaotaka unatakiwa kupata
So sad U still akid
selfish kivipi tena?
sasa ole wako umpe mtu nani yangu
sometimes mwanaume anatakiwa kuelewa kwamba mke nae ni binadamu,kuna wakati mwanamke hajisikii kufanya au hayupo kwenye mood au amechoka sasa kwa nini usimhurumie mwenzio? ndoa ni kuvumiliana,kukubaliana,sio kumfanaya mmoja punda na mwingine Mungu atii