Mume Kanuna

Mume Kanuna

Out mlisex?wapi hotelini au?huna ruhusa ya kumpa ratiba mumeo.Kama ana hamu jee au aende kwa housegirl?

hivi kama mume ana hamu mi sina inakuwaje........, ni lazima ni do hivo hivo

au mi nikiwa na ham ye hana tunafanyaje
 
mume kaninunia kisa ....
tulitoka out baada ya kuenjoy mapenzi...tukiwa tunakaribia kurud nikamwambia tushakula ..tumeenjoy...tushasex hope tukifika ni kulala tu. hakuna kusex..kanuna eti namsimanga...


No time to sleep ,,,,,pigeni mechi mpaka kukuche
 
Napenda mwanaume wa kununa nuna mimi...yani hapo ningefurahi kweli
 
mbona mambo mengine ni ya ndani kuna ulazima wa kuja kusema kila anaponuna mumeo hasa linapokuja swala kama hilo??? si haki yake, mpe...akapewe wapi kwingine???? umechoka au huna hamu ni kiasi cha kuelezana... na hata akinuna dunia haina haja ya kujua leo mumeo kanuna kisa umemnyima unyumba??.................hivi ndo kusema masomo hawafanyi kazi zao au sie mabinti ndo hatuzingatii????
 
dada hata mimi ningenuna unaninyasi nyasi wakati zipo kibao... ukitoka out hivyo kimoja kwenye gari na kingine bafuni na kingine kitandani kabla ya kulala... mwombe mwenzio msamaha loh
 
mume kaninunia kisa ....
tulitoka out baada ya kuenjoy mapenzi...tukiwa tunakaribia kurud nikamwambia tushakula ..tumeenjoy...tushasex hope tukifika ni kulala tu. hakuna kusex..kanuna eti namsimanga...

Hapa umekosea ndugu, usingesema tu, inaonekana mumeo anapenda sex ila wewe hupendi. Huwezi kutumia hiko kitu kama kumpangia vile.
 
mume kaninunia kisa ....
tulitoka out baada ya kuenjoy mapenzi...tukiwa tunakaribia kurud nikamwambia tushakula ..tumeenjoy...tushasex hope tukifika ni kulala tu. hakuna kusex..kanuna eti namsimanga...

Ana umri gani? kama ni mtu mzima basi kuna step aliruka. Si angesubiri kitandani akutomase aone kama umelala tu kama gunia la mkaa ndio aanze kununa sasa ananuna huku wenzake wanaambiwa sitaki lakini wakisha ingia kwenye 6x6 anageuka mwenyewe!
Mwambie amuone mzizi mkavu akamfunde, pia kama vipi temana naye maana ana utoto kichwani huku anaweza mambo ya wakubwa!
 
sasa we subir kitandani uanze uchokoz afu utaona kama kanuna
 
Mume kaninunia kisa tulitoka out baada ya kuenjoy mapenzi, tukiwa tunakaribia kurudI nikamwambia tushakula, tumeenjoy, tushasex hope tukifika ni kulala tu, hakuna kusex.

Kanuna eti namsimanga.

Imeandikwa "mume hana haki juu ya mwili wake isipo kuwa mkewe, naye mke hana haki juu ya mwali wake isipokuwa mumewe, msinyimane, isipokuwa kama mmekubaliana kwa ajili ya kufunga" kwa maandiko haya mimi nikiambiwa na my wife wangu "geukia huku" au akianza kulipapasa pembe langu simnyimi hata kama nimechoka kiasi gani.
 
Back
Top Bottom