Mume huyu anastaili msamaha??

Tunaambiwa tusamehe !

Samehe hata lile ambalo ki-binadamu ni gumu kusamehewa!

Niwapeni kisa kimoja;

Kuna familia yeny watoto wa 3; mkubwa akiwa binti ambaye sasa anafikisha miaka 17. mama katika familia hii ni mfanyabiashara anayelazimika kusafiri mara kwa mara na Baba ameajiriwa shirika fulani. Katika kuishi kwao imetokea Baba amaeanzisha uchafu humo ndani kwa kulala na bintiye mama awapo safarini; na walimwengu hawakumficha neno huyu Mamam wamevumilia mpaka imewalazimu wamwambie. Naye kwa kutoamini na kwa ujasiri ameamua kuwatega watesi wake na kwa bahati nzuri ama mbaya ameweza kushuhudia baada ya kurudi ghafla na kumkuta bintiye kitandani kwake wamelala na Baba!

Binti anapoulizwa na mama ; imekuwaje mwangu usiwaone wanaume wengine woote mpka utembee na baba yako ilhali ukijua ni vibaya; Binti alimjibu Baba amenipenda mimi kama alivyokupenda wewe kwani nami pia ni mwanamke!

Hebu piga picha ya maumivu aliyopata huyu Mama
kwanza kwa kitendo cha kumkuta chumbani mwao binti akiwa na Baba yake; pili ni majibu ya huyo binti!

Huyu mama kaamua kuwasamehe na binti amechukuliwa na nduguze!

Hayo ndi majaribu tuyapatayo Duniani; Biblia inatufundisha kuwa sisi tusamehepo mara 1 tunasamehewa mara 10 elfu mbinguni!

Ujumbe kwa rafiki yako ni kuwa Ajikabidhi kwa Mungu wake na masamehe mumewe na amwachie Mungu atoe hukumu; ila iwe ni kwa hekima kwa maana ya kuwa anayesamehewa lazima atambue na kuheshimu huo msamaha na akiri pia ni lazima wakapime !
 
hata ndugu zake huyu mume wameanza kumtaka arudi.wanadai ana damu yao

Inawezekana hao ndugu wanataka arudi kwa sababu wameona ndugu yao kapotea, wanahisi huyo dada atamtuliza... lakini suala la damu, kama aliikimbia hiyo damu, sasa hivi ndio wanaithamini? Aachane nao, watampoteza
 
Siku zote mwizi anapiga mwizi kuliko polisi. Jamaa anajua anavyowapinda wa wenzake hivyo akawa anaona uchungu wake kufanyiwa hivyo. Chunguza wanawake ama wanaume wenye wivu ni vimburu wa kutupa.
 
Mwambie atafute Msukuma ili ajue maana ya kuolewa maana mijitu mingine haijui maana ya mke ni nini hasa hiyoooo ya upembani na ungujani mapenzi na wao wapi na wapi...
Njoo mama kwa wala SANGARA uinjoy ndoa na mambo ya BEBENAN'GHO kamwe hutapigwa wala kukoholewa we LOVE by heart not we hurt by LOVE..
 
Kwa hilo huhitaji hata kuomba ushauri! That man is a pyscho! Anayejutia makosa na kutafuta msamaha au suluhu anafahamika! Dont even think of forgiving Him! Next time He will kill you!
Na nyie wanawake bwana! Mwanume mwenye tabia ya hivo na wewe graduate mzima unakubali kuwekwa ndani, Unachotaka nini? hiyo ilikuwa ni dosari number 1. Huwezi kumchunga binadamu kama mbuzi! Doing the right thing comes from our self-conviction! Immoral ni immoral hata ukimwekea fensi ya umeme utatoka tu
 
Agh! kufanya zinaa tena ndani ya nyumba yako mwenyewe ni weakness na ujinga

Mimi namshauri huyo dada atimke zake mbele...
 
kama walishaachana na talaka kapewa asithubutu kumrudia. aachane nae. hivyo vitisho katika simu na e-mail aviripoti Polisi. Dunia tuliyomo sasa sio ya kurudiana na mtu ambaye tabia zake chafu za kubadili wasichana unazifahamu. Chagua moja kusuka au kunyoa. UKIMWI UPO.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom