Mume hanifikishi kisawasawa

Hahahahahaaaaa.... Sawa sawa kiongozi grafani11 .... coment yako imenichekesha sana aisee
Mkuu huyu mama hajachepuka, maana toka alipoleta uzi hapa ningekuwa nimesharekebisha upungufu uliojitokeza, lakini hang'oleki...hahahaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
kaeni na muongee kuhusu hilo kama kuna tatizo msaidiane kuna tiba mbadala. ila ucjaribu kumtamkia kuwa ana nyumba ndogo utaharbu kabsa. hilo wazo la kutaka kutoka nje halifai, kipi bora kutofika kileleni au kvpata maambukiz ya HIV? Akili ya kuambiwa changanya na yako.
 
Nakushauri angalia pia vyakula unavyomuandali baba chaja wako mpikie dona, vyakula vya asili ni vizur .mtengenezee juisi ya tende na maziwa pia juisi ya watermelon ni nzuri pia.alafu hakikisha baba chaja anafanya mazoezi ya kutosha .na msizoee staili moja kila mara.wakati mwingine kina baba chaja wakiwa na stress wanapoteza nguvu.kuchepuka sio suluhu .mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenywe.
 
Huyu naye atafute kazi tu! Kuwa idle na kukaa tu nyumbani kunamfanya afikirie ngono too much. Ila akipata ile 9 to 5 hata u bank teller tu, akirudi watoto awaandae sijui chakula nakadhalika, huo mda wakutaka zaidi ya goli 3 kila siku kwa wiki atatoa wapi?

Tafuta kazi mwanamke mjijenge na familia yako, maisha na mahusiano sio kungoneka tu!
 

atumie ujuzi wangu ntakaompa wa juisi ya mchanganyiko wa tangawizi na maji kwa uwaino maalunu gharama za maelekezo yangu ni tsh 5000 tu pamoja na majibu ya maswali yake 0712505049
 
raundi moja ndio mpango wa aliye juu,yeyote anitajie mnyama,ndege au vitambaavyo wanao enda zaidi ya raundi moja?ukizidisha ni ulafi,wanawake akili zenu wekeni kitandani sio dukani kwa mangi mtatuua
 
raundi moja ndio mpango wa aliye juu,yeyote anitajie mnyama,ndege au vitambaavyo wanao enda zaidi ya raundi moja?ukizidisha ni ulafi,wanawake akili zenu wekeni kitandani sio dukani kwa mangi mtatuua

Hapa kuna dalili za upungufu wa umeme muda wowote unakata kabisaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…