Mume hanifikishi kisawasawa

Kama ulikua unampango wakuchepuka nafikili ungechepuka2 kuliko kutuletea habari yako yakipuuz humu ikiwa ww mke wamtu mbona wakat anakufanya sana haukutuambia inawezekana ww nitatzo au maji ya barid hata ukiyachemsha hayasahau barid.
 
Na hata wenye roho nzuri ya kusaidia wana ID mpya

Hivi Excel alipoteleaga wapi??? If not mistaken Hii inamuhusu 100%....alinifundishaga tuvitu twingi twingiiiii ambapo nilikua sivifahamu pindi nilipojiungaga jf..
 
Mambo ya chumbani ukianza kuyatafutia ushauri nje....umeangukia pua, pole
 
msichana umri miaka 27 una watoto wawili! huu uongo uliotukuka! haya jf utapata wapo vijana damu changa wataisugua kama wanaendesha baiskeli mlimani.
 
msichana umri miaka 27 una watoto wawili! huu uongo uliotukuka! haya jf utapata wapo vijana damu changa wataisugua kama wanaendesha baiskeli mlimani.

Hapo kwenye umri na watoto wawili mbona kawaida sana tena wengine huo umri wana hadi watoto 3 au 4..inategemea tu alianza kuzaa akiwa na umri gani wala sio kitu chakushangaza..
 

Kama una muheshimu usingeleta hii mada hapa hadharani. Familia imekuwa kubwa, mahitaji mengi, vision aliyonayo ya familia inamfanya labda awe hivyo. Halafu kumbe chanzo cha tatizo unakifahamu hiyo namba mbili yako. Rudisha umbile la mwanzo halafu uone kama kuna tofauti!!
 
Hapo kwenye namba mbili..umbile lako na lake pia limeongezeka amekuwa na kitambi kutokana na vyakula vya mafuta unavyompikia..kwiishaa usitafute mchawi
 
Kma unataka kucheat we cheat tu bila kutafuta justification ya kufanya hivyo. ila kama lengo ni kunusuru ndoa yako ni vizuri zaid ungemuuliza au angalia nature ya kazi anayofanya saiv na aliyokua anafanya kabla. zaidi ya hayoa angalia usijekuta ni wewe unambore kitandani ndo maana hajiskii kuendelea sana.
 
Hivi Excel alipoteleaga wapi??? If not mistaken Hii inamuhusu 100%....alinifundishaga tuvitu twingi twingiiiii ambapo nilikua sivifahamu pindi nilipojiungaga jf..

Mhhhh...ulifundishwa:A S 11::A S 11::A S 11::A S 11:
 
Huyu co mwanamke, hmna kitu hapa. Hata anaposema anataka kutoka nje, huyu ameshatoka tayari anatafuta kibali toka kwetu ili sisi tubariki maamuzi yake.
Nakumbuka kauli ya Naibu Spika,"hatuwezi kuwa na u moja kwenye mambo maovu". Huyu hana hoja ni fisadi tu. Km hamridhishi amewah kumwambia? Au km anahisi anakucheat amefanya uchunguzi? Na km anahisi ni tatizo la afya kwann asimshauri waende wakawaone wataalamu wa afya?
Af anakimbilia kuleta humu duh! Me natamani sana muachane tuone km jamaa atashndwa pata mwanamke atakaeweza kutatua changamoto za ndani kwake na af na huyu kicheche km kweli kulikuwa na huo msururu km anavosema.
 

Mkuu huyu mama hajachepuka, maana toka alipoleta uzi hapa ningekuwa nimesharekebisha upungufu uliojitokeza, lakini hang'oleki...hahahaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…