Mume hanifikishi kisawasawa

Mume hanifikishi kisawasawa

Oti Kate

Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
58
Reaction score
59
Habari wanajamvi,

Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.

Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:

1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi

2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.

Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu jamii formu kutafuta kurusha nae roho.

Naomba mnisadies what to do at the moment.
 
Hahaahaaa, PALE Dar es salaaam hafikiiiii........ Sio kweli. Style si zipo kibao Bibie! Zungumza nae kike haswaa akujuze kulikoni coz kama ni kazi kwani huko nyuma alikuwa hafanyi kazi? Jichunguze, mchunguze, kaeni kitako mzungumzane!!

Ikishindikana utanikuta mwanzo wa njia ya magari yaendayo kasi Kimara tusonge mbeleeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
 
Oti Kate anza kujichunguza kwanza wewe mwenyewe inawezekana umekuwa kero kwa kelele, maudhi ya hapa na pale kiasi ambacho mumeo hana hamu na wewe ila kwa mazoea lazima aje nyumba pengine kwa upendo alionao kwa binti zake. Kezo wa mwanamke huondoa kabisa hamu ya kujamiana kwa mwanamme.
 
we unasaubiri nini kama keshakuchoka anaweza kusaidiwa kimya kimya uipate raha ya dunia mana wengine kwenye hizo gemu kifuani hukaa kama 45 min stail zote zitapigwa ........sema tatizo unaweza kumuacha nikikufanyia mambo hayo na mimi sitaki umuache tunataka ajirekebishe
 
Habari wanajamvi,
Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.
Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:
1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi
2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.
Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu jamii formu kutafuta kurusha nae roho.
Naomba mnisadies what to do at the moment!
niwe wa kwanza kutafutwa humu hebu niPM
 
Pole shosti,lakini ebu jaribu kukanae umulize tatizo liko wapi na jaribu kupungua kidogo kwani kuwapanga nini Morogoro hata mpaka Tanga wanaweza kufika lakini huko umeshavuka wewe na hadhi yako sasa ni mke wa mtu.. kama unampenda kweli
hilo jambo dogo sana kwa mwanamke na kumbuka huja chelewa kumrudisha mumeo,na kutafuta faraja nje bado huja tengeneze nyumba yako,jiulize vipi uliweza kumdatisha mpaka akakuoa iweje sasa akushinde? nimapema sana shosti kuku wako mwenyewe huyo asikuvunje miguu kumfukuza hakikisha anarudi bandani...
 
try me bi dada hutajutia uamuzi wako,utaiona hadi fast jet ukiachana nakuiona anga
 
Huna haja ya kuomba ushauri kwani inaonekana tayari una mawazo ya kupigwa gemu za nje.
Mi nnavojua kwa sisi men jinsi umri unavyosonga na perfomance nayo inapungua kidogo kidogo,so usifikiri ataendelea kukushindilia mibao lukuki kama zamani !!
Ila kama unahisi mechi za ugenini zinaweza kuwa na tija, basi hamia huko kwa vyovyote hao watakaokugonga watakulelea wanao pindi utakapoikanyaga miwaya THINK TWICE !!
 
Habari wanajamvi,

Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.

Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:

1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi

2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.

Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu jamii formu kutafuta kurusha nae roho.

Naomba mnisadies what to do at the moment!

kwani ulikuwa hujamuuliza?
Umesema unampenda mumeo, unampenda kwa mazoea?
Unachotaka zaidi ni sex au kufanya mapenzi?
Kama ni sex, go ahead kuwapnga hao wenye erect pens, na kama ni kufanya mapenzi basi take the lead na mfanye mumeo awe na hamu na mahitaji ya kumake love nawe!
 
Upande wa pili:
1. Je, mume wako amebadilisha kazi, au kuongezewa majukumu au kupanda cheo? - manake stress zimeongezeka
2. Je, kuna mtoto ambaye ameshaanza shule? - manake ADA zimeanza, kipato cha uhakika zaidi kinahitajika, STRESS zimeanza
3. Je, wewe mwenyewe umeshaongeza staili mpya ngapi (UBUNIFU) tangu upate mtoto wa kwanza, na huyo wa pili? - manake baadhi ya vigezo alivyotumia mume wako kukupenda pale mwanzao KWA SASA HUNA, and never try to force.

JIPANGE. Yakikushinda wapo watakaokusaidia, na ngoma ipo inasubiri ufanye maamuzi ya kijinga uhangaike nayo.

...Juzi tu hapa nilipita kwenye kiwanda cha ARV nikakuta wanapanua kiwanda.
 
Back
Top Bottom