Mume anapotaja jina la mwengine kitandani

Kwa taarifa yako si wote wajishushao ni watimilifu, wengi wao nikutokana na kusutwa na nafsi zao kwa upuuzi wao - tafakali.
Usijali ndugu yangu kanipa mzungu ntauokota hata kwa meno..
 
Tumuulize mleta mada je imeshawahi ikatokea mmewe akamtaja mwanaume kama sehemem ya kukosea?
Wallah laitani ungekua unahisi japo robo ya maumivu yangu usinge uliza hayo unayo uliza na sikuombei yakukute..
 
Wallah laitani ungekua unahisi japo robo ya maumivu yangu usinge uliza hayo unayo uliza na sikuombei yakukute..

Kwahiyo yafanyiekazi kabla kifua chako kujaa hasira na kupasuka utaharibu ndoa yako mpendwa kama utaendeleza kujifaragua.
 
Aisee, enhe ikawaje? tiririka....:majani7:

Nashukuru hakusikia vizuri na tulikuwa tumelala tu nikastuka nikamtaja nanii, akanitolea mijicho nini???? nkajifanya nimezidiwa na usingizi nkamwambia nimesema "nasikia baridi kwa kisauti cha usingiziii.....nadhani aliamua tu kunipotezea!!!!!
 
.... Akianza tu kutaja mwanamke wake mwingine na
Ww anza fasta kuita.... Mr. President... Mr. President...
ndio ataacha...!!

Habari za Hasubuhi waungwana,
Naa swali linanichokoa roho,ivi pale unapokua na mumeo mko kwenyeuwanja wa mahaba halafu mwenzio
baada ya kukuita kwamfano Fatma anakuita fayka inamaana ndio mtu wake wewe boya tuu hapo au mpaka
amfikirie huyo ndio bao upewe au inakuwaje? au pale anapo kuita akajitia kasahau anaita jina hilo au jengine inakua
keshakuchoka au?
 
huyo kakuchoka...anakugegeda kwa sababu ni wajibu lakini hisia zipo kwa dem mwengine....chakufanta ni kumnyima maana anakuchafua tuu hapo

Mimi nimewahi kutaja jina tofauti na la mwenzi wangu mara kadhaa,
Katika mahusiano ya pili, nilikuwa nikijisahau na kuita jina la mwenzi wangu wa awali. Ila si faragha! Na hata mahusiano ya tatu, ambayo naendelea nayo,mara kadhaa nimemwita jina la yule wa mahusiano ya pili.
Sidhani kama ni mapenzi bali ni mazoea tu.
 
Nashukuru hakusikia vizuri na tulikuwa tumelala tu nikastuka nikamtaja nanii, akanitolea mijicho nini???? nkajifanya nimezidiwa na usingizi nkamwambia nimesema "nasikia baridi kwa kisauti cha usingiziii.....nadhani aliamua tu kunipotezea!!!!!

Eh! unahatari wewe, mpende husband wako bwana na umtunzie heshima yake, hao wengine wa nje waongo tu!!:majani7:
 
Sikumuacha nilimuliza jawabu lake mke wangu mie wallahi hata sikumbuki kama nimesema hayo na kama nimesema basi
ilikua raha nisamehe,juu yakua kasema lakini still roho inaniuma..

kusema kweli namuomba Mungu aniepushie hilo dhahama ninavyojijua mie humo ndani patachimbikaje????? Kiruuuuuuuuuuuuuuu
 
kama ipoipotu wewe muulize anakypenda au la ili ujue ucje ukuwa unajitunz kumbe mwenzako anagawa nje
 
Habari za Hasubuhi waungwana,
Naa swali linanichokoa roho,ivi pale unapokua na mumeo mko kwenyeuwanja wa mahaba halafu mwenzio
baada ya kukuita kwamfano Fatma anakuita fayka inamaana ndio mtu wake wewe boya tuu hapo au mpaka
amfikirie huyo ndio bao upewe au inakuwaje? au pale anapo kuita akajitia kasahau anaita jina hilo au jengine inakua
keshakuchoka au?
promiseme ndugu yangu, ukiona hivyo ujue kuna mtu huwa anafanya kama unavyofanya wewe. Kama huwa anachezewa sana na mwanamke mwingine na kusema maneno mengi sana, siku ukimkoleza lazima atayasema hayo maneno. Anzia hapo kutafiti.
 
Dada hapo lazima uwe mjanja mchunguze sana huyu mumeo hii dunia imebadilika asije kuletea maradhi,cha msingi ikiwezekana mbane sana akueleze,lazima hapo kuna jambo tu .
 
Habari za Hasubuhi waungwana,
Naa swali linanichokoa roho,ivi pale unapokua na mumeo mko kwenyeuwanja wa mahaba halafu mwenzio
baada ya kukuita kwamfano Fatma anakuita fayka inamaana ndio mtu wake wewe boya tuu hapo au mpaka
amfikirie huyo ndio bao upewe au inakuwaje? au pale anapo kuita akajitia kasahau anaita jina hilo au jengine inakua
keshakuchoka au?

Nawe muite John
 
huwezi jua uzito wa kitu mpaka kikutokee....hata miye nilikuwa nawajudge sana watu kama hao but juzi yalinitokea nikamuita wife jina la ex....ilikuwa ugomvi mtupu but my ex was never on my mind.....ulimi unatelezaga at times
 
Bora angesema bebi, switi, hani,, (hivi vijina vinasevu hivi wale Cheaters mjizoeshe kuvitaja ivi) eti antajie jina sijui Sara au Asha wakati mi ni Loli!! We!
 
huwezi jua uzito wa kitu mpaka kikutokee....hata miye nilikuwa nawajudge sana watu kama hao but juzi yalinitokea nikamuita wife jina la ex....ilikuwa ugomvi mtupu but my ex was never on my mind.....ulimi unatelezaga at times

Ndo hicho nachosema Dr. Kuna anayeshauri kutumia majhna ya bebi,sweety,honey.. mi bado siyakubali. napenda reality zaidi. Sema kitandani ndo haijawahi kunitokea...
 
Back
Top Bottom