promiseme
JF-Expert Member
- Mar 15, 2010
- 2,706
- 934
- Thread starter
- #21
Jana mwenyewe tuko kitandani akanambia mbona huna furaha nikamwambia niko sawa,akanambia wewe ni mke wangu na nnakujua tabia yako ikiwa nimekukosea nisamehe,IKIWA lakini sioni kama nimekukosea,nikamwambia hujanikosea kwasababu hukumbuki na pia sijakasirika ila nimechoka siunajua kama nakwenda nyumbani kwahiyo shopping imenichosha,Bora kumbana akwambie huyo ni nani na kwanini anautawala ubongo wake kabla ya kutoa hukumu ingawa ushahidi wa kimazingira uko wazi kuwa kuna kidudu mtu keshaingia. Majibu yake na ukweli wake hata kama ni mchungu kiasi gani ndivyo vitakavyokupa la kufanya kuamua kusamehe kusuka au kunyoa.
na sijatoka kwenda popote..