Habari wana MMU,
Ivi mume anapokuuliza maswali kama "Ivi mke wangu ukisikia nna mwanamke au nimeoa utajisikiaje'?
anamaana anakutayarisha au anakuharifu au anakupima utakaposikia habari hizi?
au anakwambia ili ukisikia usiamini? manake baadhi ya wanaume wako na maneno kama hayo kwa wake
zao au wapenzi wao.
naombeni mnisaidie kwenye hili waungwana...
Habari wana MMU,
Ivi mume anapokuuliza maswali kama
"Ivi mke wangu ukisikia nna mwanamke au nimeoa utajisikiaje'?
anamaana anakutayarisha au anakuharifu au anakupima utakaposikia habari hizi?
au anakwambia ili ukisikia usiamini? manake baadhi ya wanaume wako na maneno kama hayo kwa wake
zao au wapenzi wao.
naombeni mnisaidie kwenye hili waungwana...
Mungu anistiri sijui ntazimia...Anataka ajue reaction ili ajiandae,kama utahama nyumba basi afanye logistics mapema na watu wa fuso,kama ujinyonga basi anunue kamba madhubuti kwa kazi hiyo,kama utamdunda mke mwenzio basi akutafutie bukta nzuuri na gloves kama za tyson.
Ukweli unauma lakini ikiwa kweli ah haya! ndio majaaliwa lakini ah haya...........Hakuna jibu la moja kwa moja ila yafuatayo yanaweza kuhusika kwa namna moja au nyingine ...
1. Ana mtu na anajaribu kufikiria endapo siri itavuja wewe utachukua reaction gani
2. Hana mtu, na anajaribu kuona kama una mapenzi naye au utaonyesha wivu kwake
3. Ana mtu nje na pengine anatafuta namna ya kukwambia bila kukumiza
4. Anataka kujua kama umewahi kusikia fununu za aina hiyo
5. Anakupima imani
6. Anakwambia indirectly ukisikia upotezee
7. .....
Ila ni vyema ukaamsha akili ukiulizwa maswali ya namna hii!!!
Habari wana MMU,
Ivi mume anapokuuliza maswali kama "Ivi mke wangu ukisikia nna mwanamke au nimeoa utajisikiaje'?
anamaana anakutayarisha au anakuharifu au anakupima utakaposikia habari hizi?
au anakwambia ili ukisikia usiamini? manake baadhi ya wanaume wako na maneno kama hayo kwa wake
zao au wapenzi wao.
naombeni mnisaidie kwenye hili waungwana...
shosti hakuna zaidi ya hayo niloyaandika siunajua mficha uke hazai ndio mana nimeona bora nije tuyaongee manake sioNahisi hawezi kusema hivyo from no where, lazima kutakuwa na sababu nyuma ya pazia. Funguka zaidi ili upate msaada toka kwa makungwi wa humu.
Mtumeeee Roho yangu!!
aaaaaaaaaaaaah shtuka......
1. ana mtu anahofu ya kugundulika
2. ameoa hajajua jinsi ya kukwambia
3. anataka kuoa anacheki reaction yako
ila piga ua garagaza...ujue kuna mwenzio, tena amemshika akashikamana...
Ndio unazidi kunikwaruza roho,inabidi nianze kumpeleleza,lakini analala nyumbani
anarudi kama kawaida yake,mmm! lakini siwezi kumchukulia dhamana..