Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,284
Sababu na wewe unaweza kuwa unaijua. Mtu akiongea kwa mifano anaeleweka zaidi. Hata wanaotumia Biblia Yesu alifundisha kwa mifano.
Hakuna lazima ya mfano usiokuwa sahihi kwa asilimia zote kufikisha ujumbe.
Sio wadigo wote wanaokuza mambo wala sio watu wa pwani wote wanapenda mipasho ni stereotype tu.
Ni sawa na Mzungu aseme watu weusi wajinga kwa sababu taarifa anazozijua yeye ni hizo au mwengine awe akisema Watanzania mafisadi akichukulia sifa za viongozi wetu.
Licha ya hayo, mifano ya aina hiyo haijengi. Sioni haja ya kufikisha ujumbe directly na kumkera mlengwa wakati indirect ungefika pia na mlengwa angekuelewa