Kama unasimu pitia phonebook jina moja baada ya lingine. Yumo.Wakuu hivi mwanaume aliyepevuka na tayari kuitwa mume anapatikana wapi? Kwenye kumbi za starehe or nyumba za ibada
Imewaponza wengi hio tabia na kujikuta wanapishana na magari ya mshahara always!
Daah utanifanya nighairi mchumba, ila kwa vile mimi ndio mwenye shida ngoja tu nivumilieHahah nae anataka anipe binti yake mpenzi ila ndio kwanza yupo chekechea! Usihofu mamsap me nawewe ni lazima ile ahadi yetu itimie!
Nipo hapa mwanaume na nipo tayar kuitwa mume, mwanaume wa kwel anapatikana popote pale haijalishi sehemWakuu hivi mwanaume aliyepevuka na tayari kuitwa mume anapatikana wapi? Kwenye kumbi za starehe or nyumba za ibada
Nipo hapa jf, wala usiwe na shakaWakuu hivi mwanaume aliyepevuka na tayari kuitwa mume anapatikana wapi? Kwenye kumbi za starehe or nyumba za ibada
Usifadhaike mpenzi, wewe ndio ulioko on the plate i have no more time to waste! Wanna put a ring on it ASAP!Daah utanifanya nighairi mchumba, ila kwa vile mimi ndio mwenye shida ngoja tu nivumilie
Hujachelewa bado, take charge of that odd behaviour! Mwanaume anatakiwa akupende like serious, akiwa na afya nzuri ya mwili na akili na anaweza kamata majukumu yake vyema inatosha. Hayo mengine achia watoto wa underages.
Nakukosa pia darling,.saaana😔😘😘
Hujachelewa bado, take charge of that odd behaviour! Mwanaume anatakiwa akupende like serious, akiwa na afya nzuri ya mwili na akili na anaweza kamata majukumu yake vyema inatosha. Hayo mengine achia watoto wa underages.
Bwanaaaa😭😭😒
Kwa pale juuHivi huyu ni mkweo? Kwa wapi?
Ukiwa wewe tiyari utampata mme wako halali kama unataka mwanaume ila kama unataka mwenye gari, nyumba, mtu wa viwanja, utapata ila sio mme. Mme wa kweli yupo na mtaanza maisha mkiwa wote. Epuka playboy
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah si unawakwepaga au nakusingizia! Lol!Aki umenichekesha maana me mwenyewe mfupi ila sijawahi pata mfupi mwenzangu